Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watengeneza printa ya aina yake Afrika Mashariki

Huenda isiwe inafahamika na Watanzania wengi, lakini mashine ya kwanza ya kuchapa vifaa vya maumbo mbalimbali, imeanza kutengenezwa nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News… Bunge Afrika Mashariki lamvua spika madaraka yake

Zziwa

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kabla ya kubwagwa leo Bi.Margaret Nantongo Zziwa.

Na Mahmoud Ahmad Arusha

BUNGE  la nchi za jumuia ya Afrika Mashariki,lenye makao yake mjini Arusha, limemvua madaraka ya Uspika wa bunge hilo Margaret Nantongo Zziwa, kutoka nchini Uganda.

Uamuzi huo umefanywa  leo katika kikao cha bunge hilo ambapo Spika huyo alipigiwa kura 36 za kutokuwa na Imani nae,  kura 2 zimeharika kura moja haikueleweka  hivyo kukosa sifa ya kuendelea na wadhifa huo.

Kwa...

 

10 years ago

GPL

WAJE AFUTA ZIARA YA AFRIKA MASHARIKI BAADA YA KIFO CHA BIBI YAKE

Mwanamuziki wa Nigeria, Waje. MWIMBAJI wa kike wa Nigeria, Waje, amefuta ziara yake aliyokuwa aifanye Afrika Mashariki kutokana na kifo cha bibi yake kilichotokea majuzi. Ziara hiyo ilikuwa ifanyike tangu Julai 2 hadi Julai 6 mwaka huu. “Mashabiki wangu wa Tanzania na Uganda nasikitika kuwajulisha kwamba ziara hiyo imefutwa. Nawaomba radhi kwa hali hiyo, hata hivyo mambo yatapangwa upya. Kifo cha bibi yangu kimenilazimisha...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA ZA KANDA YA ZIWA ZINAZOTEKELEZA MIRADI YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

 Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Abdulla Juma Saadalla akitembelea  Bandari ya Mwanza Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Abdulla Juma Saadalla akioneshwa kiwanja kitakachotumika kujenga kituo cha utafutaji na uokoaji katika ziwa Victorai (MRCC) njini Mwanza.
Na Faraja Mgwabati Mheshimwa Dkt.Abdulla Juma Abdulla Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki amehitimisha ziara yake ya Siku sita kitika Wilaya  zinazotekeleza miradi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Muungano wa aina yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Kikwete akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam jana kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha na Robert Okanda).RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964, katika sherehe zilizofanyika jana katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kufana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Harusi ya aina yake Misri

Bwana harusi mmoja nchini Misri aamua kuifanya siku yake ya harusi ifanane na matendo nusu ya Jihad John.

 

10 years ago

Vijimambo

USIKU WA JAKAYA ULIKUWA WA AINA YAKE

Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula walipokuwa wakiingia kwenye ukumbi wa JW Marriott uliopo Washington, DC Ijumaa usiku Sept 19, 2014 kwenye USIKU WA JAKAYA uliokua umeandaliwa maalum na CCM tawi la DMV na kuhudhuriwa na Watanzania walishio nchini Marekani.Mwenyekiti wa CCM DMV ndg George Sebo na mkuu wa vyama vya siasa CCM Marekani Bi. Loveness Mamuya wakiwakaribisha Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani