Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto milioni 169 watumikishwa

TAKWIMU zinaonesha kuwa idadi ya watoto wanaotumikishwa duniani imefikia milioni 169 na kati ya hao, wapo wenye umri wa miaka mitano, wanaotoka katika familia maskini. Kwa upande wa Tanzania, takwimu hizo zinaonesha asilimia 27.5 ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 17, wamekuwa wakitumikishwa katika ajira hatarishi zikiwemo za kufanya kazi majumbani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

TTCL YATOA MSAADA WA KOMPUTA NA KIFURUSHI CHA INTERNET YENYE KASI YA 2MBPS VYENYE JUMLA YA SHILINGI MILIONI 20.169 KWA KITUO CHA GLOBAL OUTREACH TANZANIA

Mkuu wa biashara kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Juvenal Utafu ( wa tatu kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya komputa zilizotolewa na TTCL Bw. Nasibu Mengele aliyemwakilisha Afisa Elimu mkoa wa Iringa Bw. Eusedius Mtavangu katika halfa iliyofanyika katika kituo cha Global Outreach Tanzania mkoani Iringa. Mkuu wa biashara kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Juvenal Utafu(kushoto) akifuatilia ngonjera kutoka wanafunzi (hawapo pichani) na meneje wa TTCL mkoa wa Iringa Bw. Humprey Ngowi.

 

9 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI

 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akizungumza juu ya Upungufu wa vitamini na Baadhi ya Madini muhimu kama Vitamini A, folate, Madini chuma Zinki na madini joto ni chazo cha vifo kwa Watoto chini ya miaka Mitano na chanzo kikubwa cha maradhi mbalimbali kote Duniani, kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Alliance for Iproved Nutrition (GAIN) ,Marc van Amerngen katika mkutano uliofanyika  leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

TheCitizen

EU increases refugee intake to 169 000

The migrants’ plight has touched hearts around the world, spurred especially by pictures last week of three-year-old Syrian Aylan Kurdi, whose lifeless body washed up on a Turkish beach.

 

10 years ago

Habarileo

Watoto milioni 2 hawako shule

ZAIDI ya watoto milioni 1.7 wenye rika lengwa waliopaswa kuwepo shule, hawapo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kutoandikishwa, kuacha na kutoroka.

 

11 years ago

Mwananchi

Sh50 milioni zasaidia watoto

Idara ya Ustawi wa Jamaii katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida mkoani hapa, imetumia Sh50 milioni kuhudumia watoto mbalimbali waishio kwenye mazingira hatarishi katika manispaa hiyo katika kipindi cha mwaka wa fedha 2013/14.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto milioni 21 kupewa chanjo ya surua

Zaidi ya nusu ya wananchi kesho wanatarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya surua na rubella katika vituo vyote vya afya nchini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wametimua watoto nusu milioni

Watoto nusu milioni wametoroka makwao kutokana na mashambulio ya kundi la Boko Haram katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto milioni 2 kuzaliwa kila mwaka China

Uchina yalegeza sera yake ya mtoto 1 kwa familia ili kukabiliana na tisho la kiuchumi la kupungukiwa na nguvu kazi za vijana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani