WATOTO WACHOMWA MOTO, KISA HAWARA WA BABA
![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKMEMkOhuuqTEeER6Utz40R3HUPHihib8LGTN2*VZhMU2P8OoHlIrHOpldXJ1fKNktyNfczFV0Laiyj7sSHVct*v/Watoto.jpg?width=650)
Stori: Shani Ramadhani INASIKITISHA sana! Vijana wawili, Jumanne Omar (17) na Mgeni Rashidi Rajabu (16) (aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Keko), Dar, wakazi wa Mtoni Madafu, Temeke wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kudhaniwa kuwa ni wezi. Marehemu Jumanne Omar enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama lilitokea wiki iliyopita Gongo la Mboto, Dar ambapo kijana...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Baba awachoma moto wanaye, kisa samaki
Ester Lucas akiwa na majeraha ya moto mkononi.
NA VICTOR BARIETY, Uwazi
GEITA: Baba mzazi wa watoto wawili, Lucas Petro mwenye umri wa miaka 29, anatafutwa na polisi kwa kosa la kuwachoma moto watoto wake, Denis (5) na Ester Lucas, 3, (pichani) baada ya kuwatuhumu kuiba mboga aina ya samaki kwa jirani yao, tukio lililotokea katika Kijiji cha Msasa, Kata ya Busanda wilayani Geita, mwishoni mwa mwezi Novemba, mwaka huu.
Wakizungumza katika ofisi za mtendaji wa kata kijijini hapo, watoto hao...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d7P**ZyaI*aJyJoQvEQJOcRGTlTLEsqsIm3J0mnR15CyeP42Nzvs9ab8rqW9t6X8bqJ2MQViVHbjXGjfHJb-QQU/HAWARA.jpg)
KISA HAWARA!
10 years ago
Habarileo26 Mar
Wezi wa ng’ombe wachomwa moto
WATU watano wamekufa katika matukio matatu tofauti, wakiwemo watatu waliouawa na miili yao kuchomwa moto na wananchi wanaojiita wenye hasira, baada ya kutuhumiwa kuiba ng’ombe 40 katika Wilaya ya Bunda Mkoani Mara.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*UjH3BUcmkv*75dzCn1oGWYcFMkE4qLCullfEFkJfcc-hbPKDoBWg0WadnRn07X-EMzeMN6i7m3HLqYqLf3LClD/5.jpg)
VIBAKA WACHOMWA MOTO HADI KUFA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGjgPH8*8vm7wnyUQV7VOISthMru36vU-VdjE*lcmFtEWlT5kXr-rWJlmFx-gsrkVNX*3s9KtndPLKqFw*UoDAq3YJEfEVTv/wachomwa2.jpg)
POLISI WANYANG’ANYWA WATUHUMIWA, WACHOMWA MOTO!
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Baba Haji, Lemutuz Watifuana, Kisa Mchango wa Harusi
Staa wa Bongo Movies, Adam Haji ‘Baba Haji’ amemtolea uvivu ‘The King Of All Bongo Social Media Network’ Lemutuz kutokana na tukio la udhalilishaji alilolifanya dhidi yake!
Lemutuz ambaye amezoeleka kwa kutoa hisia na mtazamo wake juu ya mambo mbali mbali mtandaoni, mapema wiki iliyopita alimnanga Baba Haji kupitia ukurasa wke kwenye mtandao wa instagram akidai kuwa amekuwa akisumbua kuhusu michango ya harusikiasi cha kubadili staili ya kudai michango hiyo.
Kutokana na kitendo hicho Baba...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
NYANZA: Baba atuhumiwa kumuua mtoto wake, kisa mahari
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pXWI1kxUZH5doByiFTOS2rGNBHOSzWa9KBY2k**9nV-fmSS*Intj8*BEm4xL0hfPvnwpAVGp9SMdR9-4bfSBzHe2dYNZkSQ0/mume.jpg)
AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO USONI, KISA MUME WA MTU!
10 years ago
GPLKISA WIVU, AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA MPENZI WAKE