WATOTO WANAVYOWAHENYESHA MASTAA HAWA

Wiz Khalifa na mzazi mwenzake Amber Rose . SIKU zote watu walio katika uhusiano wa kimapenzi hufurahia zaidi wanapofanikiwa kupata mtoto, kwani huwa ni faraja kubwa. Lakini maisha ya mastaa mara nyingi hukumbwa na misukosuko inayosababisha wengine kutengana hivyo kuwapa wakati mgumu watoto wao, wakigombea nani mwenye haki ya kuishi nao. Chris Brown na Nia. Baadhi yao hufikia hatua ya kufikishana mahakamani kutaka haki ya kuishi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MASTAA HAWA WAMECHEZEA MIOYO YAO!
10 years ago
GPL
MASTAA HAWA WANA VIPAJI, TATIZO NYOTA
10 years ago
Bongo Movies27 Mar
Hawa Ndio Mastaa Hodari Kuficha Mimba
Kupata mimba ni jambo la heri na heshima kwa mwanamke. Mwanamke anaposhika mimba hujiona amekamilika lakini yule ambaye siku zinakwenda lakini kila akitega hanasi, hujisikia vibaya.
Hata hivyo, suala la ujauzito limekuwa likipokewa kwa hisia tofauti na mastaa wa Bongo. Wapo ambao wakipata mimba, dunia nzima itajua. Watajipiga picha na kuzitundika mtandaoni huku kila sehemu zenye mikusanyiko wakijiachia.
Lakini wapo ambao wakinasa, hata shughuli zao zinasimama. Hutawaona mtaani, wakiulizwa...
10 years ago
Bongo Movies04 Aug
Manaiki Awachezesha Mastaa Hawa Maarufu Movie ya ‘Wake up’
PRODYUZA maarufu Bongo, Manaiki Sanga, hivi karibuni aliitambuLisha filamu yake mpya ya ‘Wake Up’ ambayo amewachezesha karibu mastaa wote marufu Bongo.
Akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Atriums jijini Dar es Salaam, Manaiki alisema filamu hiyo ina ubora wa hali ya juu na imekuja kufunika filamu zote za Bongo ambazo zimewahi kuchezwa.
Aliongeza kuwa filamu hiyo imesimamiwa na muongozaji maarufu mwenye ujuzi wa juu ambaye amebobea kwenye kazi ya uongozaji wa filamu, Leah...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015…
Mashabiki wengi wa soka wanaamini nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye bora duniani..lakini kuna hili gazeti moja kutoka Ufaransa la L’Equipe limeorodhesha wachezaji 100 waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa 2015. Katika orodha hiyo Ronaldo pamoja na mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski wamefanikiwa kuingia hatua ya tano bora. Mastaa waliofanikiwa kushika nafasi tatu za […]
The post Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015… appeared first on...
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Hawa Ndio Mastaa wa Bongo Movies Wanaoutamani Ubunge Mwaka Huu
Uchaguzi mkuu wa kupata Rais, Wabunge na Madiwani upo jirani. Utafanyika mwaka huu na tayari mpaka sasa watu wenye nia ya kuwania nafasi hizo wamesikika au kutajwa kujiweka mguu sawa kabla ya filimbi kupulizwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec).
Baadhi ya waigizaji wa filamu nao hawajalaza damu, wametangaza nia yao ya kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho, macho yao yakielekezwa kwenye Ubunge.
Dude, Tabora Mjini
Ni msanii wa maigizo anayegombea ubunge katika jimbo la Tabora Mjini. Dude...
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Hawa Ndio Mastaa 10 Wakiume wa Bongo Movies Ambao Shamsa Anawakubali
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambae ni Binamu Wa Nay Wa Mitego amewataja hawa kua ndio wakali wake.
“Mambo vipi Tanzania? Leo ningependa kuwatajia wanaume 10 ambao huwa napenda sana uigizaji wao, haimanishi kwamba wao ndo the best kuliko wengine but napenda tu sanaa yao. (1) Single Mtambalike ‘Richie’ (2) Marehemu Adamu Kuambiana (3) Marehemu Kanumba (4) Muhogo Mchungu (5) Swebe (6)Tino (7) Gabo (8) Vincet Kigosi ‘Ray’ (9) Bishanga Bashaiga (10) Cloud112....nawakubali sanaaaaa...