Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA HAWA WANA VIPAJI, TATIZO NYOTA

KATIKA ulimwengu wa muziki Bongo, tumekuwa tukiwasikia wasanii wachache wakivuma ndani na nje ya nchi huku wakifanya kazi na wasanii mbalimbali wa nchi tofauti na Tanzania. Pamoja na hao wachache kuvuma kimataifa, siyo kwamba wanajua sana kuliko wengine ila nyota zao ndizo zinazowasaidia kujikuta wakitajwa kila kona huku wengine wakiwa wanafanya vizuri lakini hawapati bahati hiyo ya kuwa gumzo ndani na nje, tatizo likiwa ni nyota...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nyota hawa wana kazi kucheza ‘First XI’ msimu ujao

Septemba 12 mwaka huu, vishindo vya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ilifunguliwa rasmi kwa mechi ya Ngao ya Jamii baina ya Azam na Yanga Jumamosi, Agosti 22 vitaanza kusikika kwenye viwanja mbalimbali nchini.

 

10 years ago

GPL

WANA KAMA TATIZO NYOTA BONYEZENI RELI!

OYOOOO aje mabraza na masista? Kama kawa, kama dawa tunamiti wansi ageini katika kijiwe chetu na kubonga mastori ya tauni ama nini? Niaje masela wangu wa kipande cha TA mapenzi yalikozaliwa? Mko poa? Veri sori kwa maraia mliofesi mbishe za mabomu ya hapa na pale kozi najua ni jinsi gani pipo ambao hawana expiriensi na michongo ka hiyo wanavyokuwa na kiraruraru pindi kinaponukishwa.
Lakini kimsingi inabidi kidogo tuwekane kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana wenye vipaji ni hawa tu au kuna zengwe?

Kuna wakati wadau huridhika na mwenendo wa sanaa yetu Tanzania baada ya kuona wasanii wawili watatu, wanaendelea vizuri na kuitangaza nchi. Lakini, siyo vibaya kuangalia upande wa pili wa shilingi katika hili, muda unapopatikana.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota hawa Simba, Yanga kwisha

 Klabu za Simba na Yanga zimefanya mabadiliko kwenye vikosi vyao na moja kwa moja watakuwa wameathiri nafasi za baadhi ya wachezaji wa vikosi hivyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Eagles Entertainment Kusaka vipaji mikoani, Wahusika Hawa ndiyo Wanahitajiaka

MWIGIZAJI wa filamu wa kike Yuster Kachara ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Eagles Entertainment ametangaza kuwa kampuni yake inatarajia kusaka vipaji kutoka mikoani zaidi ya mine kwa ajili ya kurekodi tamthilia itayorushwa katika moja ya televisheni kubwa hapa nchini.

“Tunahitaji kupanua wigo wa tasnia ya filamu kwa sasa ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wasanii kutoka mikoani ambao muda mwingi wamekuwa ni watazamaji tu, hivyo tukiwatumia katika tamthilia ni rahisi kushiriki wengi na...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WANAVYOWAHENYESHA MASTAA HAWA

Wiz Khalifa na mzazi mwenzake Amber Rose . SIKU zote watu walio katika uhusiano wa kimapenzi hufurahia zaidi wanapofanikiwa kupata mtoto, kwani huwa ni faraja kubwa. Lakini maisha ya mastaa mara nyingi hukumbwa na misukosuko inayosababisha wengine kutengana hivyo kuwapa wakati mgumu watoto wao, wakigombea nani mwenye haki ya kuishi nao. Chris Brown na Nia. Baadhi yao hufikia hatua ya kufikishana mahakamani kutaka haki ya kuishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Vipaji Siri ya nyota Amerika Kusini kung’ara England, Ulaya

Soka linabaki kuwa moja ya mchezo unaopendwa zaidi duniani, huku makocha wakiumiza vichwa kusaka mafanikio kwa kusajili nyota wa kuwang’arisha.

 

10 years ago

GPL

MASTAA HAWA WAMECHEZEA MIOYO YAO!

Wema Sepetu na Diamond. MAPENZI ni kizunguzungu! Msemo huu umetimia kwa baadhi ya mastaa waliokuwa na uhusiano ambao ulivuma kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hawakukauka midomoni mwa watu. Katika uhusiano huo wa kimapenzi wapo ambao walikuwa wanafurahishwa na ‘kapo’ za mastaa hao kutokana na jinsi walivyokuwa wakiendana lakini waliishia kuanguka kwenye dhambi ya uzinzi na wengine kuzaa kisha kuachana solemba,...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WENYE NYOTA ZA NGONO!

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Makubwa! Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya ameanika nyota za baadhi ya mastaa wa Bongo katika kipengele cha mapenzi au ngono, Risasi Jumamosi limesheheni. Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya. Akizungumza na mapaparazi wetu katikati ya wiki hii ofisini kwake Magomeni-Mwembechai jijini Dar, Maalim alitumia saa kadhaa kuangalia nyota ya mmoja baada ya mwingine na kueleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani