Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasichana wenye vipaji ni hawa tu au kuna zengwe?

Kuna wakati wadau huridhika na mwenendo wa sanaa yetu Tanzania baada ya kuona wasanii wawili watatu, wanaendelea vizuri na kuitangaza nchi. Lakini, siyo vibaya kuangalia upande wa pili wa shilingi katika hili, muda unapopatikana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MASTAA HAWA WANA VIPAJI, TATIZO NYOTA

KATIKA ulimwengu wa muziki Bongo, tumekuwa tukiwasikia wasanii wachache wakivuma ndani na nje ya nchi huku wakifanya kazi na wasanii mbalimbali wa nchi tofauti na Tanzania. Pamoja na hao wachache kuvuma kimataifa, siyo kwamba wanajua sana kuliko wengine ila nyota zao ndizo zinazowasaidia kujikuta wakitajwa kila kona huku wengine wakiwa wanafanya vizuri lakini hawapati bahati hiyo ya kuwa gumzo ndani na nje, tatizo likiwa ni nyota...

 

10 years ago

Bongo Movies

Eagles Entertainment Kusaka vipaji mikoani, Wahusika Hawa ndiyo Wanahitajiaka

MWIGIZAJI wa filamu wa kike Yuster Kachara ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Eagles Entertainment ametangaza kuwa kampuni yake inatarajia kusaka vipaji kutoka mikoani zaidi ya mine kwa ajili ya kurekodi tamthilia itayorushwa katika moja ya televisheni kubwa hapa nchini.

“Tunahitaji kupanua wigo wa tasnia ya filamu kwa sasa ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wasanii kutoka mikoani ambao muda mwingi wamekuwa ni watazamaji tu, hivyo tukiwatumia katika tamthilia ni rahisi kushiriki wengi na...

 

10 years ago

Bongo5

Black and White: Huwezi kuamini, wasichana hawa ni mapacha (Picha)

Wasichana hawa wawili ni mapacha – japo hawaonekani kama hivyo. Lucy, mwenye ngozi nyeupe, na nywele zilizonyooka za ginger na Maria mwenye nywele nene za curly na ngozi nyeusi, walizaliwa January 1997. Unaweza kuamini warembo hawa ni mapacha? Lucy na Maria Kutokana na tokeo nadra la kisayansi lililotokana na mama na baba yao waliochanganya rangi, […]

 

5 years ago

Michuzi

WENYE VIPAJI VYA UCHORAJI WAJITOKEZE


NA DENIS MLOWE,IRINGA

VIJANA wenye vipaji vya kuchora mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye mradi mpya wa uchoraji uliopewa jina la The Streets of Iringa Krafts wenye nia kuibua na kuendeleza vipaji vya uchoraji na kuzalisha ajira zaidi.

Wito huo umetolewa na mdau wa maendeleo, Ahmed Salim Abri kwa lengo la kuwawezesha vijana kutumia kipaji cha uchoraji katika kukuza ajira mkoani hapa ikiwa ni sehemu ya moja ya mikakati ya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Lollipop: Nasaidia wenye vipaji vya kuimba

10NA CHRISTOPHER MSEKENA

MTAYARISHAJI wa muziki anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Bongo Fleva nchini, Goodluck Gozbert maarufu kwa jina la Lollipop, amejitokeza kusaidia wasanii wenye vipaji na uwezo wa kuimba lakini hawana fedha za kurekodia kazi zao.

Lollipop aliyejipatia sifa kupitia wimbo wa ‘Basi Nenda’ wa Mo Music, aliliambia MTANZANIA kwamba, wenye uwezo wapo wengi lakini wanashindwa kurekodi kwa kuwa hawana fedha za kurekodia ndiyo maana amechukua jukumu la kuwasaidia ili aibue...

 

10 years ago

GPL

ZENGWE MTOTO WA AUNT APIGWA ZENGWE!

Mwandishi wetu
Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung’aa kwenye vyombo vya habari baada ya baadhi ya watu kumpiga zengwe la madai kwamba eti hafanani na baba yake, Moses Iyobo ‘Moze’. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Huku ishu hiyo ikipingwa vikali na Aunt,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni akina mama au wasichana wenye bidii?

Utafiti mpya unasema kuwa wanawake waliojifungua wanafanya kazi zaidi ya wasichana wasio na watoto.

 

9 years ago

MillardAyo

Sio Wakenya wote wanasupport WaTz kufungiwa Instagram… kuna hawa waliopinga kwa mashambulizi!!

January 5 2015 niliisogeza kwako stori ya Wakenya iliyoweka headlines kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo watu wengi walianzisha mjadala wa kuwataka Watanzania wote wafungiwe matumizi ya Instagram kutokana na matumizi mabaya ya baadhi ya Watanzania! Lakini sio Wakenya wote wanakubaliana na #KickTanzaniansOutOfIG. Hizi ni baadhi ya posts za @XtianDela Mkenya aliyeanzisha mjadala wa […]

The post Sio Wakenya wote wanasupport WaTz kufungiwa Instagram… kuna hawa waliopinga kwa...

 

9 years ago

StarTV

Nafasi Ya Walinda Mlango Juhudi zinahitajika kuwaibua wenye vipaji

 

Wakati mlinda mlango wa TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo akiingia katika fainali ya kumsaka mchezaji bora wa Africa,Tanzania kupitia kwa makocha wa Academy wanatakiwa kubadili mfumo wa ufundishaji kwa lengo la kupata mlinda mlango mahiri siku za usoni.

Juhudi zimekuwa zikifanyika kuibua vipaji vya wachezaji chipukizi,na sasa imefikia hatua hadi ya kuibua waamuzi Yosso lakini kuna kila sababu ya kuwa na mkakati maalumu wa kupata walinda mlango chipukizi.

 Huo ndio umuhimu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani