Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nafasi Ya Walinda Mlango Juhudi zinahitajika kuwaibua wenye vipaji

 

Wakati mlinda mlango wa TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo akiingia katika fainali ya kumsaka mchezaji bora wa Africa,Tanzania kupitia kwa makocha wa Academy wanatakiwa kubadili mfumo wa ufundishaji kwa lengo la kupata mlinda mlango mahiri siku za usoni.

Juhudi zimekuwa zikifanyika kuibua vipaji vya wachezaji chipukizi,na sasa imefikia hatua hadi ya kuibua waamuzi Yosso lakini kuna kila sababu ya kuwa na mkakati maalumu wa kupata walinda mlango chipukizi.

 Huo ndio umuhimu wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Juhudi zinahitajika kutatua tatizo la ajira

Tatizo la ajira hapa nchini limekuwa likiumiza vichwa vya vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu vya ndani na nje ya nchi.

 

5 years ago

Michuzi

WENYE VIPAJI VYA UCHORAJI WAJITOKEZE


NA DENIS MLOWE,IRINGA

VIJANA wenye vipaji vya kuchora mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye mradi mpya wa uchoraji uliopewa jina la The Streets of Iringa Krafts wenye nia kuibua na kuendeleza vipaji vya uchoraji na kuzalisha ajira zaidi.

Wito huo umetolewa na mdau wa maendeleo, Ahmed Salim Abri kwa lengo la kuwawezesha vijana kutumia kipaji cha uchoraji katika kukuza ajira mkoani hapa ikiwa ni sehemu ya moja ya mikakati ya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana wenye vipaji ni hawa tu au kuna zengwe?

Kuna wakati wadau huridhika na mwenendo wa sanaa yetu Tanzania baada ya kuona wasanii wawili watatu, wanaendelea vizuri na kuitangaza nchi. Lakini, siyo vibaya kuangalia upande wa pili wa shilingi katika hili, muda unapopatikana.

 

9 years ago

Mtanzania

Lollipop: Nasaidia wenye vipaji vya kuimba

10NA CHRISTOPHER MSEKENA

MTAYARISHAJI wa muziki anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Bongo Fleva nchini, Goodluck Gozbert maarufu kwa jina la Lollipop, amejitokeza kusaidia wasanii wenye vipaji na uwezo wa kuimba lakini hawana fedha za kurekodia kazi zao.

Lollipop aliyejipatia sifa kupitia wimbo wa ‘Basi Nenda’ wa Mo Music, aliliambia MTANZANIA kwamba, wenye uwezo wapo wengi lakini wanashindwa kurekodi kwa kuwa hawana fedha za kurekodia ndiyo maana amechukua jukumu la kuwasaidia ili aibue...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SJMC UDSM WAPATA NAFASI YA KUONESHA VIPAJI VYAO VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA

Wanafunzi wa SMJC katika maonyesho ya urembo. Msanii Kweli MC akitoa free style. Mwanafunzi kutoka SJMC akitoa burudani safiii... Mzee Kitime akiwaasa wanafunzi kutumia vipaji kutimiza ndoto zao.…

 

10 years ago

Bongo5

Stamina adai wasanii wengi wa filamu wanauza sura, wenye vipaji wachache

Rapper Stamina anaamini kuwa tasnia ya filamu nchini inashindwa kwenda mbele zaidi kutokana na waigizaji wengi kutokuwa na vipaji bali wanatafuta umaarufu na pesa. Stamina amesema anashindwa kukaa na kuangalia filamu za siku hizi kwakuwa zimekosa waigizaji mahiri. “Unajua kuangalia filamu kuna raha yake kama utakuta waigizaji ambao wanajua kazi yao. Sio o hawa wanaotafuta […]

 

9 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto aja na ‘Kutoka Shambani’, anatafuta wasanii watatu wenye vipaji

Msanii wa muziki wa asili na mtunzi wa mashairi, Mrisho Mpoto ameanzisha kijiji kiitwacho ‘Kutoka Shambani’ ambacho kitawakutanisha vijana wenye fani mbalimbali hapa nchini. Mpoto ameiambia Bongo5 kuwa vijana wenye vipaji mbalimbali na watakaokubali kushiriki watalazimika kukaa miaka 2 kwenye kijiji hicho bila kutumia simu. “Nilichokifanya nimetafuta heka 20 ambazo zipo, nachofanya nataka nichukue wasani […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Radio 5 Arusha — chasaka wasanii wenye vipaji mtaani jijini Dar

????????????????????????????????????

Wasanii wenye vipaji vya kuimba wakihakiki majina yao kwa DJ Haazu, wa Radio 5 wakati wa mchakato wa RADIO 5 KAMATA KIPAJI uliofanyika katika viwanja vya TP SINZA Jijini Dar es salaam Septemba 12, 2015.wenye lengo la kusaka vijana wenye vipaji na kuwainua kutokana na vipaji vyao.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG).

Katika kuonyesha kuwa wapo karibu na vijana wa Kitanzania katika kuwasaidia kuwainua kiuchumi na kiuwezo,kituo cha Radio maarufu kutoka kaskazini mwa Tanzania ARUSHA...

 

9 years ago

Michuzi

KITUO CHA RADIO 5 ARUSHA - CHASAKA WASANII WENYE VIPAJI MTAANI JIJINI DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Wasanii wenye vipaji vya kuimba wakihakiki majina yao kwa DJ Haazu, wa Radio 5 wakati wa mchakato wa RADIO 5 KAMATA KIPAJI uliofanyika katika viwanja vya TP SINZA Jijini Dar es salaam Septemba 12, 2015.wenye lengo la kusaka vijana wenye vipaji na kuwainua kutokana na vipaji vyao.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOGKatika kuonyesha kuwa wapo karibu na vijana wa kitanzania katika kuwasaidia kuwainua kiuchumi na kiuwezo,kituo cha Radio maarufu kutoka kaskazini mwa Tanzania ARUSHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani