Watoto wawili wafariki baada ya kuangukiwa na nyumba
Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia mkoani Singida baada ya kuangukiwa na nyumba ya udongo maarufu kama tembe walimokuwa wamelala wakati mvua kubwa ikiendelea kunyesha.
Tukio hilo la maafa limetokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo Jumatano katika Kijiji cha Mningaa/Mkwese Wilaya ya Manyoni mkoani humo na kusababisha vifo vya watoto hao wa kiume wenye umri wa miaka 4 na 12 waliokuwa wamelala peke yao kwenye nyumba hiyo ya tembe.
Simuzi ya kusikitisha kutoka kwa familia...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV25 Nov
Watoto wawili wafariki Dihombo Mvomero baada ya Nyumba kuteketea Kwa Moto
Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya nyumba walimokuwa wakiishi kuteketea kwa moto katika kijiji cha Dihombo wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana wakati watoto hao watatu wakiwa wamelala peke yao, mama yao mzazi akiwa ameenda kanisani.
Mmoja wa watoto hao aliwasha kibatari kwa lengo la kwenda kujisaidia lakini kwa bahati mbaya kibatari hicho kililipuka na moto kuanza kusambaa nyumba nzima.
Watoto waliofariki...
5 years ago
BBCSwahili18 Feb
Uganda: Watoto wafariki baada kula vitafunwa vilivyopikwa kwa dawa ya kuua wadudu
9 years ago
StarTV10 Oct
Kijana mmoja afariki baada ya kuangukiwa na jiwe
Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Johnson Muchunguzi amefariki dunia baada ya kuangukiwa na miamba ya mawe alipokuwa katika shughuli za uchimbaji wa mchanga kwenye eneo la machimbo yasiyo rasmi ya Rwome yaliyopo katika kata ya Kashai Manispaa ya Bukoba,.
Baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo wamesema kijana huyo pamoja na wenzake walikutwa na dhaama hiyo majira ya asubuhi baada ya jiwe kubwa kuanguka na kumfukia wakati akiwa katika shimo alilokuwa akichimbia mchanga.
Vikosi vya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qmsUgHzH5lNdltbKUHDB7QIQaX-GcgmGtz87GswZlB5993ZVfWMFF7cU2rCfIyx3KWWk5SjiFRFUuyWXN7pwlBJ66d8g34O8/breakingnews.gif)
BASI LAUA BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA IRINGA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GlX85sULmO8/Uy3SQ73ffCI/AAAAAAAFVq4/wuOwf6P9GB4/s72-c/31.jpg)
RIDHIWANI KIKWETE AHANI MSIBA WA WATOTO WAWILI WALIOPOTEZA MAISHA BAADA YA KUTUMBUKIA KWENYE KISIMA CHA MAJI,KIWANGWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GlX85sULmO8/Uy3SQ73ffCI/AAAAAAAFVq4/wuOwf6P9GB4/s1600/31.jpg)
10 years ago
Vijimambo11 Mar
BASI LAUA ZAIDI YA ABIRIA 40 BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA IRINGA
![](http://api.ning.com/files/qmsUgHzH5lPN4MTkzhZdj2BMrcDES1HIF0YNw7aY-wcMX89rwE0Fhjepd-Y38ePQKv7UEsAEFJCLYrCaALYfgkAnLw5UuEcP/IMG20150311WA0021.jpg)
![](http://api.ning.com/files/qmsUgHzH5lPdNyoxKIGsqVYw7Tb1JwcrtYFanGQgYMhaeukec9x6Z0nQw8JfVCyhxle2Egy3gUpWa3VCHWprFD4CxARiZhIy/IMG20150311WA0019.jpg)
![](http://api.ning.com/files/qmsUgHzH5lPL-LJm9MwPWS-4FH0*P6EZJX8*kHXfp0x9z9aM90uvpkTgqCeqVXj*aUg66ySSlt-qTRH5wf5JztkOoSJPly0h/IMG20150311WA0014.jpg)
Inadaiwa kuwa basi hilo lilikuwa limebeba abiria 65 na abiria nane tu ndiyo walionusurika katika ajali hiyo...
9 years ago
Bongo512 Sep
Video: Watu zaidi ya 100 wapoteza maisha baada ya kuangukiwa na crane kwenye msitiki wa Mecca
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Wanahabari wawili wafariki dunia
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
CAF:Wachezaji wawili wafariki