BASI LAUA ZAIDI YA ABIRIA 40 BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA IRINGA
Mmoja ya majeruhi akiokolewa na wasamalia wema.
ABIRIA zaidi ya 40 wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Majinja Express ambalo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kufunikwa na kontena maeneo ya Changalawe, Mafinga mkoani Iringa muda huu.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ni kwamba dereva wa basi alikuwa akijaribu kulipita lori ndipo walipodondokewa na kontena hilo.
Inadaiwa kuwa basi hilo lilikuwa limebeba abiria 65 na abiria nane tu ndiyo walionusurika katika ajali hiyo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BASI LAUA BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA IRINGA
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA


10 years ago
Mwananchi12 Mar
Kontena lalalia basi, laua 42, lajeruhi 23
10 years ago
Vijimambo12 Mar
HABARI KAMILI KONTENA LALALIA BASI LAUA 42 LAJERUHI 23

Mufindi. Watu 42 wamepoteza maisha na wengine 23 kujeruhiwa baada ya lori la mizigo kugongana na basi na kontena lililokuwa limebebwa kuangukia gari hilo la abiria, katika ajali ya aina yake iliyotokea eneo la Mafinga Changalawe mkoani Iringa.Watu 37 waliokuwa kwenye basi hilo la kampuni ya Majinjah Express lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam, walifariki...
10 years ago
VijimamboDEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA
Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...
10 years ago
Bongo512 Sep
Video: Watu zaidi ya 100 wapoteza maisha baada ya kuangukiwa na crane kwenye msitiki wa Mecca
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha)
Kwenye taarifa ambazo zimenifikia muda mfupi uliopita iko pia inayohusu ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa… Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa, mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo lilipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo. Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa […]
The post Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha) appeared first on...
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO AJALI YA BASI

11 years ago
GPL
ABIRIA WANUSURIKA KUFA BAADA YA MABASI KUGONGANA IRINGA