Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wenye ualbino wamuangukia Magufuli

 Watoto wanaolelewa katika Kituo cha Bikira Maria kilichopo Lamadi mkoani Simiyu, wameiomba Serikali ya Awamu ya Tano kukomesha mauaji ya watu wenye ualbino kutokana na imani za kishirikina.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA JAMBO YAMWAGA MSAADA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA




Kampuni ya vinywaji Jambo Products ya mkoani Shinyanga, imetoa misaada mbalimbali ikiwemo chakula kwenye kituo cha kulea watoto wenye ualbino cha Buhangija Jumuishi kilichopo Mjini Shinyanga .

Akizungumza wakati wa kutoa msaada huo leo Alhamis Februari 20,2020, Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Esme Salum, akiambatana na wachezaji wa timu ya Stand United ambayo wanaifadhili, amesema wameamua kutoa sehemu ya faida ambayo wanaipata kusaidia watoto hao wenye ualbino ili kuwapa faraja.  Amesema...

 

5 years ago

CCM Blog

JBS FUEL COMPANY YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE UALBINO BUSEGA KUKABILI CORONA

 Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mhe. Tano Mwera (kushoto) akipokea  msaada wa chakula na vifaa vya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona uliotolewa na Mkurugenzi wa JBS Fuel Company Limited, Bi. Lucy Sabu (wa pili kulia) kwa kituo cha kulelea watoto wenye ualbino na watoto wenye mahitaji maalumu kilichopo Kata ya Lamadi wilayani Busega, Aprili 22, 2020 wakishuhudiwa na baaadhi ya watoto hao na Mlezi wao Sister Helena Ntambulwa.
  Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mhe. Tano Mwera (kushoto) akipokea...

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AONGOZA KIKUNDI CHA WANAWAKE NA MABADILIKO KUKABIDHI BWENI KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA






Kikundi cha Wanawake na Mabadiliko Manispaa ya Shinyanga (Women For Change - WFC) kimekabidhi bweni walilokarabati kwenye kituo cha kulea watoto wenye ulemavu mbalimbali cha Buhangija Jumuishi, wakiwamo na watoto wenye ualbino kwa ajili ya kuwaweka katika mazingira mazuri. Zoezi la kukabidhi bweni ambalo ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, limefanyika leo Alhamis Machi 5, 2020 ambapo mgeni Rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, huku hafla hiyo fupi...

 

10 years ago

Michuzi

JK MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA WATU WENYE UALBINO

 Katibu Mkuu wa Sirika la Dawa Asili na Ulizi wa Mazingira Boniventure Mwalongo akifafanuaa jambo mbele ya waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na Maadhimisho ya kimataifa ya kuongeza ufahamu juu ya Ualbino katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam Leo katikati ni Mwenyekita wa Chama Cha Albino Tanzania (TAS), Kassimu Kirwe na Katibu Mkuu Ziada Nsembo.Katibu Mkuu wa TAS, Ziada Nsembo akizungumza na waandishi wa habari Hawapo pichani...

 

10 years ago

Michuzi

DC WA MISSENYI AWAPATIA MATIBABU YA BURE WATU WENYE UALBINO

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF). Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa dini na serikali za mitaa wilayani Missenyi.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO

 Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro akiizundua Kamati itakayoshughulikia changamoto za usalama za watu wenye Ualbino nchini kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Kamati hii imeundwa kutokana na ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliitoa wakati alipokutana na viongozi wa Chama cha Albino nchini (TAS), Machi 5, mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Kaimu...

 

10 years ago

Michuzi

Tume kujumuika na Wadau kulaani mauaji dhidi ya watu wenye Ualbino

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa kushirikiana na Chama cha Albino Tanzania (TAS), Under The Same Sun (UTSS) Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu ( SHIVYAWATA), taasisi za kiraia na wadau wengine wameandaa maandamano ya amani sanjari na maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani Duniani (International Day of Peace) yatakayofanyika Jumapili Septemba 21,2014 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kauli Mbiu ya maadhimisho haya ya kitaifa ni “Haki ya Amani...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa ashiriki Matembezi ya kupiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Edward Lowassa (katikati mwenye kapelo), "akitroti" kukimbia sambamba na mamia ya watu waliojitokeza kwenye matembezi ya kuunga mkono kupiga vita dhidi ya mauaji ya watu wenye Ualbino, yaliyofanyika jana kuanzia Uwanja wa Taifa na kuishia kwenye Viwanja vya TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake mwishoni mwa matembezi hayo ya kilomita 5, Mh. Lowassa alimuomba Rais Jakaya Kikwete, "kumwaga" wino, ili kubariki hukumu ya kifo...

 

5 years ago

Michuzi

TAS WAIOMBA SERIKALI KUANGALIA NAMNA YA KUWASAIDIA WATU WENYE UALBINO

  Na Farida Saidy,Morogoro

Chama cha Watu wenye ualbino ( TAS) kimeiomba serikali kuangalia upya sera na  miongozo   katika sekta ya  afya kuwasidia watu wenye ualbino katika upatikanaji wa vifaa kinga  ikiwemo mafuta maalumu ya kujipaka ,kama ilivyo  katika upatikanaji wa dawa za kufumpaza virusi vya Ukimwi ARV zinavyotolewa bure katika vituo vya afya na zahanati.

Kauri hiyo imetolewa mkoani Morogoro na katibu wa  Tas Taifa Musaa Kabimba  katika kliniki ya ngozi  kwa watu wenye ualbino,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani