WATU 11,000 WALIOAMBUKIZWA CORONA IRAN WAPATA NAFUU
Wizara ya Afya imetangaza kuwa, hadi sasa watu 11,679 waliokuwa wameabukizwa virusi vya ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran wamepata nafuu na kuruhusiwa kuondoka hospitalini.Kianoush Jahanpour, Msemaji wa Wizara ya Afya ya Iran akizungumza Jumamosi na waandishi habari alisema: "Hadi sasa watu 35,408 nchini Iran wameambukizwa corona. Aidha ameongeza kuwa, hadi sasa idadi ya waliofariki kutokana na virusi hivyo kufikia adhuhuri ya Jumatano ilikuwa watu 2,517.Ugonjwa wa COVID-19...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog01 Apr
WAGONJWA WA CORONA WALIOPATA NAFUU NCHINI IRAN WAPINDUKIA 14,656

5 years ago
BBCSwahili13 Mar
Coronavirus: Ramani inayoonesha idadi ya watu walioambukizwa na waliofariki kutokana na virusi vya corona duniani
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Je ni kwanini Idadi ya watu walioambukizwa virusi Uganda inapunguzwa?
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Coronavirus: Wafungwa zaidi ya 54,000 waachiwa huru Iran kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
5 years ago
Michuzi
Watu 552 waliokuwa wameambukizwa Corona nchini Iran wapona

Akizungumza na waandishi habari Jumatano hii mjini Tehran, Kianoush Jahanpour mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Umma katika Wizara ya Afya ya Iran amesema watu hao wote waliopona wako katika hali nzuri hivi sasa.
Ameongeza kuwa, hadi kufikia leo Jumatano adhuhuri kulikuwa na kesi mpya 586 za waliombukizwa kirusi cha Corona kote Iran na...
5 years ago
Michuzi
Watu 913 wapona virusi vya corona nchini Iran, WHO yapongeza

Dk Kianoush Jahanpour, Mkuu wa Kituo cha Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari cha Wizara ya Afya ya Iran alitangaza habari hiyo jana Ijumaa na kuongeza kuwa, watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Iran kufikia jana ilikuwa ni 4,747, kati ya hao 124 wamepoteza maisha kutokana na virusi hivyo lakini waliopona ni watu 913.
Dk...
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi vya corona: Walioambukizwa corona Kenya wafika 246
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya corona: Walioambukizwa Kenya wafikia 320
5 years ago
Michuzi
Walioambukizwa kirusi cha corona Afrika Kusini wafikia 38

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, watu 14 waliokumbwa na ugonjwa wa COVID-19 wameongezeka katika kipindi cha siku moja nchini Afrika Kusini.
Huku hayo yakiripotiwa, idadi ya walioambukizwa kirusi cha corona imeongezeka mara mbili pia nchini Morocco baada ya nchi hiyo kuripoti kesi nyingine 9 za...