WAGONJWA WA CORONA WALIOPATA NAFUU NCHINI IRAN WAPINDUKIA 14,656
Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran imetangaza kuwa: Hadi leo Jumanne mchana watu 14,656 miongoni mwa walioambukizwa kirusi cha corona wamepata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali.Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari ya Wizara ya Afya ya Iran Kianoush Jahanpour, amewaeleza waandishi wa habari kuwa, jumla ya watu 44,606 wameambukizwa virusi vya covid-19 nchini Iran; na kwa masikitiko, watu 141 wamefariki dunia katika muda wa saa 24 zilizopita kutokana na...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog29 Mar
WATU 11,000 WALIOAMBUKIZWA CORONA IRAN WAPATA NAFUU

5 years ago
BBCSwahili24 May
Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22
5 years ago
BBCSwahili05 May
Vurusi vya corona: Jinsi kampuni ya ndege ya Mahan Air nchini Iran ilivyokaidi marufuku na kusambaza corona mashariki ya kati.
5 years ago
Michuzi
Waathirika 291 wa virusi vya Corona wapona nchini Iran

Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran imetangaza kwamba hadi sasa watu 291 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.
Alireza Raeesi, Naibu Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran ameyasema hayo leo akiongea na waandishi wa habari. Ameashiria kuwa watu 1,501 waathiriwa wa virusi vya Corona nchini Iran na kusema kwa bahati mbaya hadi sasa watu 66 wamefariki dunia kutokana na virusi hivyo.
Virusi vya Corona viliibuka...
5 years ago
Michuzi
Watu 552 waliokuwa wameambukizwa Corona nchini Iran wapona

Akizungumza na waandishi habari Jumatano hii mjini Tehran, Kianoush Jahanpour mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Umma katika Wizara ya Afya ya Iran amesema watu hao wote waliopona wako katika hali nzuri hivi sasa.
Ameongeza kuwa, hadi kufikia leo Jumatano adhuhuri kulikuwa na kesi mpya 586 za waliombukizwa kirusi cha Corona kote Iran na...
5 years ago
Michuzi
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar

(JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuona namna ambavyo madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza kutoa huduma kwa wagonjwa hao.

Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) Dkt. Stanley Binagi akielezea...
5 years ago
Michuzi
Watu 913 wapona virusi vya corona nchini Iran, WHO yapongeza

Dk Kianoush Jahanpour, Mkuu wa Kituo cha Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari cha Wizara ya Afya ya Iran alitangaza habari hiyo jana Ijumaa na kuongeza kuwa, watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Iran kufikia jana ilikuwa ni 4,747, kati ya hao 124 wamepoteza maisha kutokana na virusi hivyo lakini waliopona ni watu 913.
Dk...
5 years ago
CCM Blog
WAGONJWA WA CORONA NCHINI KENYA WAFIKI 465

Wizara ya afya nchini Kenya imethibitisha maambukizi mapya 30 ya virusi vya corona hii ni baada ya sampuli 883 kufanyiwa vipimo katika muda wa saa 24 na kufanya idadi ya walioambukizwa kufikia 465 .
Naibu waziri wa afya Dk Rashid Aman anasema kuwa 19 ni wagonjwa kutoka Mombasa, 8 jijini Nairobi wawili kaunti ya Bungoma na kimoja kaunti ya Kitui.
Watu wawili zaidi aidha wamefariki kaunti ya Mombasa kutokana na virusi hivyo na kufikisha waliofariki nchini Kenya kuwa 24 na idha waliopona...
5 years ago
Michuzi
WAGONJWA WAPYA WA CORONA 196 WAONGEZEKA NCHINI
Na WAJMW-Dodoma
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wa Corona 196 nchini huku Tanzania Bara ikiwa na Wagonjwa 174 na Zanzibar wagonjwa 22 ambao walitolewa taarifa na Waziri wa Afya Wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid na kufanya idadi ya wagonjwa wa Corona nchini kufikia 480.
Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo wakati akigawa magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa majimbo mbalimbali tukio lililofanyika leo katika ofisi ya Waziri Mkuu iliyopo...