WATU BILIONI 2 WANAUMWA HOMA YA INI (HEPATITIS B) DUNIANI, CHUKUA HATUA
![](http://api.ning.com:80/files/7U-JG7rftqQvVWGjU-U0d7YVRwOKPkQ1T8iHMleCYHCY2h*bL8Nxt563Ss5ZCoSQumBiH3gx8R3WYQ6XWvOnZhVbEua-ttjM/hepatitiss1liverhepatitisvirus.jpg?width=650)
Virusi vya Hepatitis baada ya kulishambulia ini. Ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu. Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus). Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho. Watu takribani 1,000,000 wanapoteza maisha kila mwaka duniani kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B)....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLUZINDUZI HOMA YA INI LEO
11 years ago
GPLWADAU WAONGEZEKA KAMPENI YA HOMA YA INI
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Homa ya ini hatari kuliko ukimwi
WADAU wa mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini (Hepatitis B), wamesema takriban watu milioni moja wanapoteza maisha kila mwaka dunia kutokana na ugonjwa huo. Pia wadau...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct9BE8xQpt5mVNlmH4kUIBvcycIyMCosy6czruRb3gP-QzVc7jiZ0cA5f7Mn0f3DN1P2cLBsFuaQv3ZfIMK-SaI493apIJlN/waziri.jpg?width=650)
KAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA KESHO
11 years ago
GPLKAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA IJUMAA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2pobHs6gLczFt5BWiobDgvy0y*5tVN5s7AYD-*dkf4XfGFyp*apjLCtE63JgxcXpe-w3nYFuQh*jsyYcVhEs0Z9l/homa.jpg?width=640)
HOMA YA INI: UGONJWA HATARI KULIKO UKIMWI
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Wanafunzi kupewa chanjo homa ya ini Dar
11 years ago
Habarileo04 Aug
Homa ya ini inaua kuliko Ukimwi - daktari
IDARA ya afya mkoani hapa imehadharisha jamii dhidi ya ugonjwa wa ini, ikisema ni mbaya zaidi ya virusi vya Ukimwi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9FAJVCy7wrG4Wa4wFyJhXSFa9m7I6xzm4LmFjhvGBcmZF*zGfQ9DpKKNgFoxc143jcKQqVcoYPh-5ToydmbM2Pt/SHIGONGO.jpg?width=650)
SHIGONGO ASISITIZA KAMPENI YA KUTOKOMEZA HOMA YA INI