Watu hamsini wauawa Kandahar
Vikosi vya serikali ya Afghanstan vimesema watu 50 wameuawa katika mapigano baina yake na waoiganaji katika kundi la mwisho la Taleban lililoshambulia uwanja wa ndege wa Kandahar
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-h9Lxnl9ahhY/VBWN8iibpRI/AAAAAAAGjis/E4gIHa_BqIk/s72-c/PIX%2B1%2B(1).jpg)
Wabunge wanawake wasisitiza ajenda ya hamsini kwa hamsini kutokakwepeka katika Katiba Mpya ijayo
![](http://3.bp.blogspot.com/-h9Lxnl9ahhY/VBWN8iibpRI/AAAAAAAGjis/E4gIHa_BqIk/s1600/PIX%2B1%2B(1).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-MB_FaimexKE/VBWN8hPwR-I/AAAAAAAGjio/sDqgzccOH7k/s1600/PIX%2B3%2B(1).jpg)
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Watu 7 wauawa Somalia
Wavamizi walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo hilo kabla ya wavamizi kuingia wakiwa wamejihami kwa bunduki
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jHu91qaKIFKjNGlB7A64a86f0eO3TjN5eizLCtmbHMIauqnrj1gtNxCsdIqwSRRuaCEN76I0KaVE2jo0FbI620n/MAJERUHI2.jpg)
WATU 28 WAUAWA CHINA
Baadhi ya majeruhi katika shambulio hilo wakiwa hospitali. Miili ya watu waliouawa katika shambulio hilo.…
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Watu 50 wauawa Pakistan
Zaidi ya watu 50 wameuawa na wengine 100 kujeruhiwa katika bomu la kujitoa muhanga huko Pakistan mpakani na India
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
watu 30 wauawa Nigeria
Mashambulio mawili ya mabomu katika mji wa Jos nchini Nigeria yamewaua takribani watu 30.
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Watu wawili wauawa Mandera
Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanajeshi kufyatulia risasi gari moja mjini Mandera katika hali isiyoeleweka, ripoti zinasema.
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Karibu watu 60 wauawa Nigeria
Ripoti kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa karibu watu 60 huenda waliuawa katika kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa nchi
10 years ago
BBCSwahili23 May
Zaidi ya watu 40 wauawa Mexico
Takriban watu 43 wameuawa wakati wa ufyatulianaji wa risasi katika jmbo la Michoacan nchini mexico.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania