Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu milioni 11 wajiandikisha BVR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema hadi sasa wameshaandikisha wapigakura zaidi ya milioni kumi na moja kati ya milioni 24 wanaotarajiwa kuandikishwa nchini kote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK ajiandikisha Kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga leo, ZAIDI YA WATU MILIONI 11 WAJIANDIKISHA NCHINI

JUMLA ya watu milioni 11,248,194 wameandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura zoezi ambalo linaendelea kwa sasa hapa nchini likiwa limeingia mkoani Pwani. Hayo yalisemwa leo kwenye Kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Damian Lubuva alipokuwa anampa taarifa Rais Dk Jakaya Kikwete mara baada ya kujiandikisha. Bw. Lubuva alisema kuwa malengo ni kuandikisha watu milioni 21 hadi 23 kote nchini mara zoezi hilo litakapokamilika kati...

 

10 years ago

GPL

JK AJIANDIKISHA KUPIGA KURA KWA KUTUMIA BVR KIJIJINI MSOGA JANA, ZAIDI YA WATU MILIONI 11 WAJIANDIKISHA NCHINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga, kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi yaTume ya Taifa ya Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Vifaa Kama BVR Vyanaswa Vikiandikisha watu Jijini Dar.

Vifaa Kama BVR Vyanaswa Vikiandikisha watu Jijini Dar. friday,october 9,2015 Hofu ilitanda jana katika kiwanda cha MM Steel cha jijini Dar es Salaam, baada ya kuwapo kwa taarifa kuwa mashine ya kusajili wapigakura kwa mfumo wa […]

The post Vifaa Kama BVR Vyanaswa Vikiandikisha watu Jijini Dar. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Habarileo

Wahamiaji wajiandikisha uraia wakidai Watanzania

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Newala ni wahamiaji kutoka Msumbiji na wamekuwa wakijitambulisha kuwa Watanzania wakati wa kujaza fomu.

 

10 years ago

Michuzi

ASILIMIA 62 WAJIANDIKISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa bwana Kharist Michael Luanda akitangaza idadi ya watanzania waliojiandikisha kushiriki uchaguzi wa serikali za Mitaa utakaofanyika jumapili ijayo.
Jumla ya Watanzania 11,491,661 sawa na asilimia 62% ya watanzania 18,587,742 ambao walitarajiwa kujiandikisha kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika jumapili ijayo wamejiandikisha kushiriki uchaguzi huo. 
 Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali ...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu milioni 1.6 wamdhamini Lowassa

Kada mpya wa Chadema, Edward Lowassa jana amerejesha fomu ya kuwania urais, huku akifanikiwa kupata wadhamini milioni 1.6, zaidi ya nusu ya kura za urais ambazo chama hicho kilipata kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.

 

9 years ago

Habarileo

Watu milioni 10 kuelimishwa kipindupindu

WATANZANIA zaidi ya milioni 10 wanaotumia mitandao ya simu nchini, wanatarajia kunufaika kupata elimu kuhusu ugonjwa wa kipindupindu.

 

10 years ago

Habarileo

NEC yaandikisha watu milioni 21

TUME ya Uchaguzi (NEC), imesema imeandikisha zaidi ya watu milioni 21 nchini tangu uandikishaji uanze Februari 23, mwaka huu na kwamba, Dar es Salaam pekee, wameandikishwa watu zaidi ya milioni mbili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali zaua watu milioni sita

WATU milioni sita wanakadiriwa kufa na wengine milioni 20 hadi 50 hujeruhiwa kwa ajali za barabarani kila mwaka. Takwimu hizo zimebainishwa jana na daktari bingwa wa mifupa wa Taasisi  ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani