Wahamiaji wajiandikisha uraia wakidai Watanzania
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Newala ni wahamiaji kutoka Msumbiji na wamekuwa wakijitambulisha kuwa Watanzania wakati wa kujaza fomu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Sep
Askofu: Watanzania watachukua uraia kwingine
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Mhashamu Method Kilaini amesema kukataa uraia pacha ni sawa na kukubali kupoteza watoto na nchi kubaki kama kisiwa wakati nchi nyingine zinafanya hivyo, jambo ambalo Watanzania wengi watakimbilia uraia wa nchi nyingine.
11 years ago
MichuziHoja ya haja ya Mwenyekiti wa Watanzania wa Washington-Seattle kuhusu uraia pacha
Yamekuwepo malumbano na mada nyingi kuhusu uraia pacha na jinsi ilivyo muhimu kuwa na uraia pacha kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi, na hapa namaanisha siyo ughaibuni tu hata wale waishio nchi jirani zinazotuzunguka.
Pamoja na mada zote nzuri naomba kwa ruksa yenu turudi kwenye sheria yenyewe ya uraia Tanzania kama inavyojulikana kama (Tanzania citizenship Act no 6 1995).
Katika mada yangu hii naomba tujikite hasa kwenye aina ya uraia unaotambuliwa na sheria hii pamoja na lengo la...
11 years ago
MichuziSERIKALI YAWAPA VYETI VYA URAIA WATANZANIA WENYE ASILI YA KISOMALI 1,514
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Mkimbizi wa Kisomali mwenye asili ya Kibantu, Ramadhani Haji katika hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Chogo, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Waziri Chikawe alitoa vyeti vya uraia kwa wakimbizi 1,514 waliopo katika Makazi ya Chogo ambao waliomba kupewa uraia kwa mujibu wa Sheria ya Tanzania. Kulia kwa Waziri ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce...
11 years ago
Michuzijohn mashaka ajitosa mjadala wa uraia pacha: Haki Ya Kuzaliwa Ya Watanzania Ughaibuni
Taifa letu likiwa katika mpito na wakati mgumu wa kuandika rasimu ya katiba mpya ya watanzania, hatuna budi kuweka kando itikadi zetu za kisiasa, tofauti za kiimani na hata maslahi binafsi ili tuungane katika kutafuta katiba itakayokidhi mahitaji yetu ya sasa na ya vizazi vijavyo.
Katika mchakato huu, inatubidi tuwe makini na wakweli katika kujadili hatma na haki ya kuzaliwa ya ndugu zetu ambao wanaishi ughaibuni.
Lazima tuwajumuishe na kuwapa haki zao za msingi; haki ya kuzaliwa katika...
10 years ago
VijimamboUGAWAJI WA VYETI VYA URAIA KWA WATANZANIA WAPYA 152,572 WAFIKIA UKINGONI
Afisa Uhakiki, Neema Chilipweli (kushoto) akiihakiki familia ya Yohanna Bukuru (watatu kulia), pamoja na mkewe na watoto wao sita kutoka Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi, ikiwa ni hatua ya awali ya uhakiki ili familia hiyo iweze kupewa vyeti vya uraia wa Tanzania. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka...
10 years ago
Michuzi20 Aug
HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA GAZETI LA MWANANCHI NA BWANA HUMPHREY POLEPOLE KUHUSU URAIA PACHA KWA WATANZANIA.
Naomba unipe nafasi nitoe maoni yangu kuhusu Uraia pacha nikijbu maoni yaliyoandikwa kwenye gazeti la mwananchi na bwana Humphrey Polepole. Maoni yake yamenishangaza sana na mtu huyu anaonekana ana hujuzi kidogo katika mambo ya uandishi na ameamua kutumua ujuzi wake kudanganya watu kuhusu swala hili la urahia pacha kwa watanzania.Napenda iheleweke kwamba urahia pacha sio kitu kigeni Tanzania. Kimsingi na kimazingira Tanzania inaruhusu urahia pacha.
1.kwa watanzania wote walio na wazazi wenye...
1.kwa watanzania wote walio na wazazi wenye...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Watu milioni 11 wajiandikisha BVR
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema hadi sasa wameshaandikisha wapigakura zaidi ya milioni kumi na moja kati ya milioni 24 wanaotarajiwa kuandikishwa nchini kote.
10 years ago
MichuziASILIMIA 62 WAJIANDIKISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa bwana Kharist Michael Luanda akitangaza idadi ya watanzania waliojiandikisha kushiriki uchaguzi wa serikali za Mitaa utakaofanyika jumapili ijayo.
Jumla ya Watanzania 11,491,661 sawa na asilimia 62% ya watanzania 18,587,742 ambao walitarajiwa kujiandikisha kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika jumapili ijayo wamejiandikisha kushiriki uchaguzi huo.
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali ...
Jumla ya Watanzania 11,491,661 sawa na asilimia 62% ya watanzania 18,587,742 ambao walitarajiwa kujiandikisha kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika jumapili ijayo wamejiandikisha kushiriki uchaguzi huo.
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali ...
11 years ago
Michuzi12 Feb
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ehtiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu.
Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake
Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Mbeya. Habari na picha
na Mbeya yetu.---------------------------- IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ehtiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisinin kwake Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya...
Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Mbeya. Habari na picha
na Mbeya yetu.---------------------------- IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ehtiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisinin kwake Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania