WATUHUMIWA WA MAKOSA YA MTANDAO WATIWA MBARONI
![](http://1.bp.blogspot.com/-7-SADBmwcIY/Vhf3qctFrQI/AAAAAAAH-Ow/Y8PKPXC21_8/s72-c/At6-smQO4jGYyWrZfz1q_U-VzPW-XKtXzBIROQBtsTXw.jpg)
Mtuhumiwa wa makosa ya mtandao anayetuhumiwa kusambaza katika mitandao taarifa za uongo zinazomhusu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, Benedic Angelo Ngonyani (24) (wa kwanza Kulia) akiwa katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu akisubiri kusomewa mashtaka.
Wengine ni watuhumiwa wa wizi kwa kutumia mitandao ya simu (fraud and use of telecommunication network) Ally Hamze (53) raia wa Afrika Kusini(wa Pili kulia), Huang Kun Bing (26)Raia wa China (wa Tatu Kulia) Irfan Mirza Baig (46) (wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo19 Aug
Watuhumiwa 4 wa ujambazi watiwa mbaroni
POLISI mkoani Katavi inawashikilia watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa wakiwa na bunduki mbili aina ya SMG zilizokuwa na risasi 40 za moto.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nMkb-Djjb3ezxrwcFkaFzzKO1UTXksEQJICBJ-a8iJPPVTvhGuCz8bV-76p6j9V-J5dANyY5fuQal5A3aVsBl3pifBVXFFA7/STAKISHARI13.jpg)
WATUHUMIWA WA UJAMBAZI STAKISHARI WATIWA MBARONI
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Watuhumiwa wizi wa mtandao mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu jijini Dar es Salaam limewakamata watu wawili wanaojihusisha na mtandao wa uhalifu kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano (IT). Watuhumiwa hao Edison Mbekya (27), mkazi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
10 years ago
Habarileo16 Mar
Waethiopia 63 watiwa mbaroni
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia raia 63 wa Ethiopia na maiti mmoja ambao walikuwa wakisafirishwa na dereva Mtanzania kutoka Moshi kwenda Mbeya kwa kupitia njia za panya.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Waethiopia 76 watiwa mbaroni
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa kusadiana na Jeshi la Polisi imewanasa wahamiaji haramu 76 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa katika harakati za kutaka kusafirishwa...
11 years ago
Mtanzania10 Aug
Kibonde, Gadner watiwa mbaroni
![Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Efraim-Kibonde.jpg)
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
NA ELIZABETH HOMBO
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde na Gadner G. Habash, wametiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya askari wa usalama barabarani.
Kibonde ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipindi cha ‘Jahazi’ kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm akiwa na mtangazaji mwenzake wa Radio Times, Gadner, walikutwa na mkasa huo jana...
11 years ago
GPLPOLISI FEKI WATIWA MBARONI
10 years ago
Habarileo04 Nov
Vigogo TPDC watiwa mbaroni
VIGOGO wawili wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli (TPDC) jana walijikuta wakisota rumande kwa saa kadhaa baada ya kushikiliwa na Polisi, kwa kile kilichoelezwa ni kukiuka agizo la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyokuwa imeagiza ikabidhiwe mikataba 26 ya gesi iliyofikiwa kati ya Serikali na wawekezaji.