Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUMISHI KATIBA NA SHERIA WAMUAGA JOSEPH NDUNGURU ANAYESTAAFU LEO

Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kwa Umma katika Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Joseph J.K. Ndunguru, ambaye anastaafu leo (Ijumaa, Machi 20, 2015) baada ya kutimiza miaka 60, akimlisha keki Katibu Muhtasi wake Bi. Fatuma Ngodoki jijini Dar es Salaam leo huku watumishi wengine wakishuhudia.Mwanasheria katika Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Charles Mmbando akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kwa Umma katika hiyo Bw. Joseph J.K. Ndunguru, ambaye anastaafu leo (Ijumaa, Machi 20,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Watumishi Katiba na Sheria wamuaga Joseph Ndunguru anayestaafu leo baada ya kutimiza miaka 60

Ndunguru 1

Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kwa Umma katika Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Joseph J.K. Ndunguru, ambaye anastaafu leo (Ijumaa, Machi 20, 2015) baada ya kutimiza miaka 60, akimlisha keki Katibu Muhtasi wake Bi. Fatuma Ngodoki jijini Dar es Salaam leo huku watumishi wengine wakishuhudia.

Ndunguru 2

Mwanasheria katika Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Charles Mmbando akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kwa Umma katika hiyo Bw. Joseph J.K. Ndunguru, ambaye anastaafu leo (Ijumaa, Machi...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi Katiba na Sheria waaswa kufanya kazi kwa malengo

Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wameaswa kuendeleza ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutimiza malengo ambayo Wizara imejiwekea.
Akizungumza na watumishi wa makao makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Novemba 20, 2014), Katibu Mkuu Bi.  Maimuna Tarishi amesema ushirikiano na upendo ni ngunzo muhimu za mafanikio katika taasisi yoyote.
“Watumishi wa umma, hasa tuliopo Dar es Salaam, tunatumia muda mrefu tukiwa kazini hivyo tunatakiwa tupendane na...

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE WAMUAGA RAIS KIKWETE


Rais Kikwete akifunua kitambaa ambapo nyuma yake kuna picha ya Jengo la Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje linalokusudiwa kuanza kujengwa hivi karibuni. Rais Kikwete alifunua kitambaa hicho kuashiria kuanza ujenzi wa jengo hilo.Mhasibu Mkuu wa Wizara, Bw. Paul Kabale akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya  watumishi wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu akiwa na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino waliotembelea Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino waliotembelea Bunge Maalum la Katiba wakipigwa picha na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Zaynab Kawawa wakati wa mapumziko ya mchana ya Bunge hilo mjini Dodoma Aprili 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA ARIPOTI OFISINI KWAKE LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akisaini kitabu mara baada ya kuripoti katika ofisini leo (Jumatatu, Novemba 10, 2014). Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi (kulia) ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akifurahi na watumishi wa Wizara hiyo, Bi. Joyce Mtuma...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMREJESHA MWINGULU NCHEMBA KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, AMTEUA LEO KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA


Ikulu, ChatoRais Dk. John Magufuli amemrejesha kwenye Baraza lake la Mawaziri Mbunge wa Iramba Magharibi Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Pichani) kwa kumteua kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Taarifa iliyotolewa jioni hii na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema  uteuzi wa Dk. Mwigulu Lameck Nchemba unaanza leo tarehe 02 Mei, 2020.
"Dk. Mwigulu Lameck Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Dk. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia jana tarehe 01 Mei, 2020", imesema taarifa hiyo.

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za utekelezaji wa sheria ya kura ya maoni ya Katiba. Kulia ni Mratibu wa Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Ezekiel Massanja.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani