WAUZA MAGAZETI MORO WAKABIDHIWA MIAMVULI YA CHAMPIONI
Nassib Nassoro ambaye ni wakala wa Global Mkoani Moro akimkabidhi mwamvuli wa Championi muuza magazeti wa eneo la Ofisi za Manispaa ya Morogoro, Bw. Pacific Mchami Mrema [Kulia] Muuza magazeti Bw. Mrema na wakala wa Global Mkoani Moro wakisimika mwamvuli sehemu anayouzia magazeti eneo la Ofisi…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS LEO IMETOA MIAMVULI KWA WAUZA MAGAZETI
11 years ago
GPLCHAMPIONI YAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WAUZA MAGAZETI
11 years ago
GPLCHAMPIONI YAWANG'ARISHA WAUZA MAGAZETI MWANZA
10 years ago
GPLCHAMPIONI YATOA ZAWADI TENA KWA WAUZA MAGAZETI
11 years ago
GPLGAZETI LA CHAMPIONI LAENDELEA KUGAWA FULANA KWA WAUZA MAGAZETI.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7NC-PlJcbt8*y7Rbufh0QZBu2pKg-6l9Vx5LnIV1cnQyUBR*hIYKkWIgz23NjjSqbq-LmkTTYeo-85pqTwShsSWrUnEznoYq/IMG20141019WA0031.jpg?width=650)
GLOBAL YAGAWA MIAMVULI YA CHAMPIONI JIJINI MBEYA
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Shigongo awapa somo wauza magazeti
KAMPUNI ya Global Publishers inayochapisha magazeti mbalimbali nchini imewashauri wauza magazeti jijini Mwanza na kwingineko kufanya kazi hiyo kwa malengo ya kijasiriamali ili kujipatia maendeleo. Ushauri huo ulitolewa juzi jijini...
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Wauza magazeti walalamika kukamatwa na mgambo
Benjamin Masese na Sheila Katikula, Mwanza
SAKATA la Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kuliweka Jiji la Mwanza katika hali ya usafi, limeingia katika sura mpya, baada ya askari mgambo wa jiji hilo kuanza kuwakamata wauza magazeti kwa kile walichodai wameagizwa.
Wauza magazeti wamekuwa wakikimbia na magazeti yao pale wanapowaona askari mgambo hao kitendo ambacho wamekilalamikia.
Tangu Jumapili iliyopita, wauza magazeti jijini hapa wamekuwa katika hali ya sitofahamu kutokana na...