Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wauza magazeti walalamika kukamatwa na mgambo

Benjamin Masese na Sheila Katikula, Mwanza

SAKATA la Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kuliweka Jiji la Mwanza katika hali ya usafi, limeingia katika sura mpya, baada ya askari mgambo wa jiji hilo kuanza kuwakamata wauza magazeti kwa kile walichodai wameagizwa.
Wauza magazeti wamekuwa wakikimbia na magazeti yao pale wanapowaona askari mgambo hao kitendo ambacho wamekilalamikia.
Tangu Jumapili iliyopita, wauza magazeti jijini hapa wamekuwa katika hali ya sitofahamu kutokana na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Shigongo awapa somo wauza magazeti

KAMPUNI ya Global Publishers inayochapisha magazeti mbalimbali nchini imewashauri wauza magazeti jijini Mwanza na kwingineko kufanya kazi hiyo kwa malengo ya kijasiriamali ili kujipatia maendeleo. Ushauri huo ulitolewa juzi jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Wauza magazeti walalamikia halmashauri ya jiji

Wauza magazeti wa jijini Dar es Salam wamelalamikia operesheni ya kusafisha jiji iliyotekelezwa na askari wa halmashauri ya jiji, wakieleza kwamba haikuwatendea haki kwa kuharibu mali zikiwamo meza na magazeti ambazo zilisombwa na askari hao waliosindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU).

 

10 years ago

GPL

WAUZA MAGAZETI MORO WAKABIDHIWA MIAMVULI YA CHAMPIONI

Nassib Nassoro ambaye ni wakala wa Global Mkoani Moro akimkabidhi mwamvuli wa Championi muuza magazeti wa eneo la Ofisi za Manispaa ya Morogoro, Bw. Pacific Mchami Mrema [Kulia] Muuza magazeti Bw. Mrema na wakala wa Global Mkoani Moro wakisimika mwamvuli sehemu anayouzia magazeti eneo la Ofisi…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL ILIVYOWAANDALIA SHEREHE WAUZA MAGAZETI MWANZA

Mwakilishi wa Global Publishers Masumbuko Ali, akizungumza na wauza magazeti wa Jiji la Mwanza. Muuza magazeti akisoma gazeti la Risasi.…

 

11 years ago

GPL

CHAMPIONI YAWANG'ARISHA WAUZA MAGAZETI MWANZA

Wakala wa magazeti ya Global Publishers jijini Mwanza, Khamis Kikasi (katikati mwenye kofia) akitoa tisheti za Championi kwa baadhi ya wauzaji wa magazeti jijini humo. Baadhi ya wauzaji wa magazeti jijini Mwanza wakiwa katika pozi baada ya kukabidhiwa tisheti kutoka gazeti la…

 

10 years ago

GPL

CHAMPIONI YATOA ZAWADI TENA KWA WAUZA MAGAZETI

Muuzaji akikabidhiwa mwamvuli baada ya kupewa meza ya kuuzia magazeti eneo la Feri, Dar. Muuzaji huyo akisimika mwamvuli. Kulia ni Afisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda.…

 

11 years ago

GPL

CHAMPIONI YAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WAUZA MAGAZETI

Mmoja wa wauza magazeti akipokea zawadi ya mwavuli kutoka kwa Ofisa Usambazaji wa Global, Yohana Nkanda (katikati). Kushoto ni mfanyakazi wa Global, Jimmy Haroub . Mfanyakazi wa Global Publishers,…

 

10 years ago

GPL

MAOFISA MASOKO WA GLOBAL WATEMBELEA WAUZA MAGAZETI DAR

Maofisa wa Global sambamba na wasomaji wa magazeti wakiwa wamezunguka meza ya muuza magazeti eneo la Tabata-Chama. Maofisa Masoko wa Global Publishers. Kutoka kulia ni Yohanna Mkanda, Jimmy Haroub na Jordan Ngowi wakichukua maoni kutoka kwa muuzaji wa magazeti Stendi ya Tabata, Segerea. Jimmy Haroub akiviangalia vitabu vya Shigongo katika…

 

10 years ago

GPL

MAWAKALA NA WAUZA MAGAZETI WASHEREHEKEA MIAKA 17 YA KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akizungumza na mawakala pamoja na wauzaji wa magazeti Dar Live leo. Wauzaji na mawakala wa magazeti wakiwa kwenye sherehe hizo. Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho (kulia) akiwa na Ofisa Utawala wa Global, Soud Kivea. MAWAKALA na wauzaji wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani