Wauza magazeti walalamikia halmashauri ya jiji
Wauza magazeti wa jijini Dar es Salam wamelalamikia operesheni ya kusafisha jiji iliyotekelezwa na askari wa halmashauri ya jiji, wakieleza kwamba haikuwatendea haki kwa kuharibu mali zikiwamo meza na magazeti ambazo zilisombwa na askari hao waliosindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Walemavu walalamikia Operesheni Safisha Jiji
KIONGOZI wa Taasisi ya Haki za Binadamu Maendeleo ya Kiuchumi ya Walemavu (HREDP), Abubakar Rakesh, ameilalamikia Operesheni Safisha Jiji inayoendelea kwa kuwaondoa walemavu bila kuwapangia sehemu maalumu ya kwenda kufanyia...
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Wauza magazeti walalamika kukamatwa na mgambo
Benjamin Masese na Sheila Katikula, Mwanza
SAKATA la Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kuliweka Jiji la Mwanza katika hali ya usafi, limeingia katika sura mpya, baada ya askari mgambo wa jiji hilo kuanza kuwakamata wauza magazeti kwa kile walichodai wameagizwa.
Wauza magazeti wamekuwa wakikimbia na magazeti yao pale wanapowaona askari mgambo hao kitendo ambacho wamekilalamikia.
Tangu Jumapili iliyopita, wauza magazeti jijini hapa wamekuwa katika hali ya sitofahamu kutokana na...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Shigongo awapa somo wauza magazeti
KAMPUNI ya Global Publishers inayochapisha magazeti mbalimbali nchini imewashauri wauza magazeti jijini Mwanza na kwingineko kufanya kazi hiyo kwa malengo ya kijasiriamali ili kujipatia maendeleo. Ushauri huo ulitolewa juzi jijini...
10 years ago
GPLWAUZA MAGAZETI MORO WAKABIDHIWA MIAMVULI YA CHAMPIONI
11 years ago
GPLGLOBAL ILIVYOWAANDALIA SHEREHE WAUZA MAGAZETI MWANZA
10 years ago
GPLMAOFISA MASOKO WA GLOBAL WATEMBELEA WAUZA MAGAZETI DAR
11 years ago
GPLCHAMPIONI YAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WAUZA MAGAZETI
11 years ago
GPLCHAMPIONI YAWANG'ARISHA WAUZA MAGAZETI MWANZA