Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL YAGAWA MIAMVULI YA CHAMPIONI JIJINI MBEYA

Msomaji akijisomea Gazeti la Championi kwenye kivuli cha mwamvuli uliogawiwa kwa muuzaji wa magazeti maeneo ya  Uhindini jijini, Mbeya. Muuzaji wa magazeti akiwa na mwamvuli wenye nembo ya Championi baada ya kugawiwa Mbalizi stand,  Mbeya.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GLOBAL YATOA MIAMVULI KWA VENDOR JIJINI MBEYA

Wasomaji wa gazeti la Championi jijini Mbeya wakiendelea kusoma gazeti hilo katika Stendi ya Ilomba. Vendor (mwenye tisheti nyekundu) akimkabidhi gazeti la Championi…

 

10 years ago

GPL

GLOBAL YAENDELEA KUMWAGA MIAMVULI MJINI MBEYA

Muonekano wa mwamvuli wa Championi eneo la Uhindini Mbeya.
Mhuza magazeti (kulia) akimpongeza wakala baada ya kumkabidhi mwamvuli wa Championi Mbalizi stand mbeya.…

 

10 years ago

GPL

WAUZA MAGAZETI MORO WAKABIDHIWA MIAMVULI YA CHAMPIONI

Nassib Nassoro ambaye ni wakala wa Global Mkoani Moro akimkabidhi mwamvuli wa Championi muuza magazeti wa eneo la Ofisi za Manispaa ya Morogoro, Bw. Pacific Mchami Mrema [Kulia] Muuza magazeti Bw. Mrema na wakala wa Global Mkoani Moro wakisimika mwamvuli sehemu anayouzia magazeti eneo la Ofisi…

 

10 years ago

GPL

CHAMPIONI YANG'ARISHA MADUKA DAR, YAGAWA MABANGO KWA WAUZAJI WAKE

Bango la gazeti la Championi likiwa limebandikwa kwenye kibanda cha kushonea nguo cha 'Sylvia Taailoring' kilichopo Tabata jijini Dar. Duka la Changila lililoko Tandale Magharibi likiwa na bango la Championi…

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS LEO IMETOA MIAMVULI KWA WAUZA MAGAZETI

Muuzaji wa magazeti wa eneo la Stendi ya Makumbusho akipokea muamvuli. Kushoto ni Afisa Usambazaji wa Global akimkabidi dada muuza magazeti wa eneo la Stendi ya Makumbusho.…

 

10 years ago

Michuzi

BIASHARA YA MIAMVULI JIJINI DAR

 Msimu huu wa neema ya Mvua hapa jijini Dar ndicho kipindi muafaka kabisa kwa wafanyabiashara ndogondogo kubadili biashara zao.Pichani ni mmoja wa wafanyabiashara hao akiuza mwamvuli kwa mteja wake waliekuwa kwenye gari.mmoja wa wafanyabiashara hao akielekea kilingeni kwake baada ya kutoka kujumua miamvuli tayari kwa kuiuza kwa wateja wake.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAGAWA ZAWADI KWA MAWAKALA WAKE

Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamini Mwanambuu akimpomgeza mmoja wa mawakala aitwaye William Wilson aliyefanya vizuri kwenye mauzo na kupatiwa 50,000/=. IMhariri wa gazeti la Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula (kulia) akimkabidhi 50,000/= Shukuru Shaban.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAGAWA BONUS KWA MAWAKALA WAKE

Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamini Mwanambuu (kulia) akimpomgeza mmoja wa mawakala aitwaye William Wilson aliyefanya vizuri kwenye mauzo ya gazeti la Championi na kupatiwa Bonus ya 50,000/=. Mhariri wa gazeti la Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula (kulia) akimkabidhi bonus ya 50,000/= Shukuru Shaban.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani