Wawakilishi Z’bar wakacha kikao, Baraza laahirishwa
Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), kimeahirishwa kwa mara ya pili kutokana na idadi ya wajumbe kutotimia kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa chombo hicho cha kutunga sheria, Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Oct
Baraza la Wawakilishi laanza kikao
BARAZA la Wawakilishi limeanza kikao chake jana ambako pamoja na mambo mengine litajadili miswada miwili ya sheria, huku Muswada wa Maadili ya Viongozi ukirudishwa tena kwa kamati kwa ajili ya majadiliano zaidi na kupokea maoni mbalimbali ya wadau kwa maboresho mapya.
10 years ago
VijimamboRAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN AFUNGA KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI
10 years ago
MichuziUFUNGUZI WA KIKAO KATI YA UONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi inayosimamia Ofisi za Viongozi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/2RwpNeY_ih4/default.jpg)
10 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
10 years ago
VijimamboHATIMAE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI LAAHIRISHWA RASMI
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi, akikagua maonyesho ya kazi zinazofanywa na manispaa ya Kinondoni.
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Hatimaye Baraza la Madiwani la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni laahirishwa rasmi
Rais Mstaafu wa awamu ya pili , Alhaji Ally Hassan Mwinyi, akiwasili kwenye hafla ya kuvunja baraza la madiwani la Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni , Yusuph Mwenda.
Na Mwandishi wetu
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeliahirisha rasmi Baraza la Madiwani ambapo mgeni rasmi katika kuahirisha Baraza hilo alikuwa mheshimiwa Rais mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi.
Shughuli hizo zilianza kwa kikao cha baraza cha kawaida cha kupokea...
9 years ago
VijimamboBARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA
11 years ago
GPLBARAZA LA WAWAKILISHI, ZANZIBAR LEO