Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawekezaji wapewe fursa zakuwekeza nchini

Wadau wa sekta binafsi nchini wameitaka serikali iwapatie fursa zaidi za kuwekeza katika sekta ya reli ili kuendeleza biashara na kukuza uchumi wa nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wawekezaji wa ndani wapewe kipaumbele

Katika kuhakikisha uwekezaji unapiga hatua nchini, Serikali imeshauriwa kuwapa kipaumbele wawekezaji wa ndani na kuacha kujali wa nje.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA VIJANA WAPEWE FURSA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye uwanja wa Ruangwa Likangara tayari kuhutubia wakazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Wananchi wa Ruangwa wakionyesha furaha yao wakati wa kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM kwenye uwanja wa mkutano Ruangwa Likangara. Wananchi wa Ruangwa wakiwa na mabango yaliyobeba ujumbe wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kujenga na kukiimarisha chama,Katibu Mkuu wa CCM...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AFUNGUKA FURSA ZA KIUCHUMI ZILIZOPO, AWAITA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE UTALII


Charles James, Michuzi TV

NYUMBANI kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya. Nyumbani kwa Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk Asha-Rose Migiro. Ndipo nyumbani pia kwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe.

Naizungumzia Wilaya ya Mwanga iliyopo Kilimanjaro. Wilaya ambayo licha ya kutawaliwa na milima mingi lakini ina miundombinu madhubuti ya barabara na nishati ya umeme pia.

Wilaya ya Mwanga licha ya kuwa na Tarafa sita lakini umaarufu wa Tarafa...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawekezaji 65 kuwekeza nchini

ZAIDI ya wawekezaji 65 wanatarajiwa kuja nchini kuwekeza katika sekta mbalimbali za maendeleo ikiwemo viwanda na utalii. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alibainisha hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawekezaji California watua nchini

WAWEKEZAJI kutoka Jimbo la California, mji wa Vally, wapo nchini kwa lengo la kuangalia masuala ya uwekezaji katika nyanja mbalimbali ikiwemo kilimo, elimu, utalii na miundombinu. Akizungumza wakati wa kuwakaribisha...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI NCHINI POLAND

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilusha mawazo na viongozi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil baada ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AWATOA HOFU WAWEKEZAJI NCHINI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akioneshwa na kupewa maelezo kuhusu mtambo wa kuzalisha mvinyo kutoka kwa Mhandisi wa Kemikali na Mchakato tija wa kiwanda hicho, Daniel Mollel wakati wa ziara yake katika kiwanda cha kuzalisha mvinyo cha DOMIYA.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani