Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawekezaji watakiwa kujenga hoteli za hadhi

Wafanyabiashara nchini wametakiwa kuwekeza kwa kujenga hoteli zenye hadhi kutoa fursa kwa mikutano ya kitaifa kufanyika mkoani hapa, kwani hoteli zilizopo hazikidhi viwango.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ateta na wawekezaji nchini Poland wenye nia ya kujenga hoteli ya kimataifa Zanzibar

123121

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiandika maelezo muhimu wakati akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu (gold refinery) na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. (Picha na Irene Bwire wa OWM).

123137

 

11 years ago

GPL

WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA,TANZANIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl. Waziri wa Viwanda na...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA, TANZANIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl. Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akisisitiza jambo.  Ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya...

 

5 years ago

CCM Blog

TBS WATAKIWA KUEPUKA VISHAWISHI NA URASIMU NCHI IWE SALAMA NA KUVUTIA WAWEKEZAJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara  Prof. Riziki Shemdoe ( wa pili kutoka kulia) akipatiwa maelezo na mtaalam wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS)  kuhusu upimaji wa bidhaa mbalimbali unavyofanyika katika maabara ya uhandisi mitambo, Wakati wa ziara aliyoifanya Katibu Mkuu huyo kwenye Ofisi za TBS jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dk. Athuman Ngenya.



Na Roida Andusamile-TBS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara  Prof. Riziki Shemdoe...

 

10 years ago

Michuzi

VETA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANAANDAA WANAFUNZI WA HOTELI NA UTALII WENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA.

Baraza la ushauri la chuo cha  mafunzo ya hoteli na utalii (VHTTI) limetakiwa kuhakikisha linaandaa wanafunzi vyema na wenye viwango vya kimataifa   ili kukabiliana  na ushindani mkubwa ulioko katika sekta ya hoteli na utalii duniani.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa wakati akizindua baraza hilo  jana ndani ya chuo cha hoteli na utalii cha VHTTI kilichopo  nje kidogo ya jiji la Arusha .
Alisema kuwa kutokana na changamoto kubwa ya  hoteli zetu kuajiri watu kutoka nje...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji watakiwa kujenga umoja imara

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Hajat Mwantumu Mahiza, amewataka wafugaji kuepuka ukabila miongoni mwao na kujenga umoja imara utakaowawezesha kutetea na kusimamia haki zao. Hajat Mwantumu alisema hayo wakati wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi watakiwa kujenga vituo vya polisi

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amewataka wananchi kuchangia ujenzi wa vituo vya polisi ili kusaidiana na Serikali katika kukabiliana na tatizo la uhalifu nchini.

IGP Mangu alitoa rai hiyo jana mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa jengo la Kituo cha Polisi cha Majengo pamoja na jengo la Dawati la  Jinsia na Watoto katika Kituo Kikuu cha Polisi Moshi Mjini,  vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi na wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani