Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAWEKEZAJI WAVUTIWA NA KONGAMANO LA BRN

Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) na Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima wakifuatilia kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) na kuhusisha wawekezaji mbalimbali kutoka nje ya nchi. Kongamano hilo lililolenga kuvutia uwekezaji katika miradi ya BRN lilifanya jijini Dar es Salaam Jumatano. Kushoto ni Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akifafanua kuhusu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI

 Kibao kinacho elekeza eneo la mradi wa viwanda wilayani Kisarawe mkoani Pwani lililopo Visegese. Mradi huo unaendeshwa na Halmshauri hiyo na wabia wa Kampuni ya World Map Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo....

 

10 years ago

GPL

WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI‏

 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo. Kulia ni Ofisa Mipango Miji Mwandamizi kutoka TIC, Elibariki Ngorovily.  Wawekezaji kutoka China...

 

10 years ago

Michuzi

Ubunifu wa BRN wavutia wawekezaji sekta binafsi


Mkutano wa kwanza wa aina yake ulioandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) umefanikiwa kuwakutanisha mahali pamoja wawekezaji wakubwa kutoka mataifa mbalimbali ili kujionea fursa za uwekezaji katika miradi mbalimbali iliyopewa kipaumbele katika Mpango huo.BRN ni Mpango ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania tangu Julai mosi, 2013 kwa lengo la kuchagua sekta chache za kipaumbele na kuweka mfumo madhubuti unaoweka malengo na muda wa utekelezaji wa kila mradi huku mawaziri husika wakiwa...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YADHAMINI KONGAMANO LA WAWEKEZAJI MKOANI SONGWE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Aaziri Mkuu - Uwekezaji, Anjela Kairuki akisalimiana na Meneja Mwandamizi wa Wateja wa Serikali wa Benki ya CRDB, Nuru Kateti alipotembelea Banda la CRDB, baada ya kufungua Kongamano la wawekezaji mkoani Songwe lililoandalia na Mkuu wa Mkoa huo, Brig. Jenerali Mstaafu, Nicodemus Mwangela kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika juhudi za kukuza na kuleta chachu ya maendeleo ya uwekezaji mkoani songwe. Kulia ni Meneja wa Benki hiyo Kanda Nyanda za Juu Kusini, Denis...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif afungua Kongamano la wafanyabishara na wawekezaji Milan

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akiwasilisha taarifa inayohusu fursa za uwekezaji nchini Tanzania kwenye kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji nchini Italia. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyabiashara na wawekezaji wa Italia, baada ya kufungua kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji, kwenye maonyesho ya biashara ya Milan nchini Italia. Makamu wa Kwanza wa Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim seif afungua kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji kwenye maonyesho la biashara ya Milan, Italia

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipeana mikono  na mmoja kati ya wafanyabiashara wa Italia huku baadhi ya wajumbe wa Tanzania wakishuhudia.  Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akiwasilisha taarifa inayohusu fursa za uwekezaji nchini Tanzania kwenye kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji nchini Italia. Baadhi ya washiriki wa kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji kwenye maonyesho la biashara ya Milan Italia...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA WAWEKEZAJI LA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA LEO SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Uwekezaji la Ukanda wa ziwa Tanganyika linalojumuisha Mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma. kongamano hilo linafanyika leo 01 Nov 2014  katika Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, Mkoani Rukwa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi na tano kwa wajasiriamali wadogo wadogo wa Sumbawanga...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 NIMR NA KONGAMANO LA WANASAYANSI WATAFITI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionesha vitabu  vya Mpango wa Mkakati wa Nne wa Utafiti Bora wa Afya alivyovizindua leo. Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka kitaifa wa masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wengi wavutiwa na muujiza Mali

Maelfu ya raia katika mji mkuu wa Mali Bamako wanaendelea kufurika ili kujionea kile kilichotajwa kuwa muujiza wa kidini katika ukuta mmoja ambao ulionekana wikiendi iliopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani