Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazabuni walidai Jeshi la Polisi milioni 500/-

blWAZABUNI waliopewa tenda na Jeshi la Polisi ya kulisha jeshi hilo na vikosi vyake nchini, wamelalamikia hatua ya ofisi ya uhasibu Polisi Makao Makuu kushindwa kuwalipa zaidi ya Sh milioni 700 wanazodai tangu mwaka 2008.
Pamoja na hali hiyo wamepinga hatua ya Mhasibu Mkuu wa jeshi hilo, Frank Msaki ya kufanya malipo kwa upendeleo na hata kumtuhumu kuwa amekuwa akificha nyaraka za kumbukumbu za malipo za wazabuni hao.
Wakizungumza na MTANZANIA juzi wazabuni hao walisema hatua ya kushindwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LATOLEA UFAFANUZI KUHUSU KUKAMATWA KWA MTU MWENYE ASILI YA KIASIA AKIWA NA TSHS. 722,500,00 KATIKA HOTELI YA ST. GASPER

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime

YAH: TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWAVYOMBO VYA HABARI TAREHE 14/07/2015

Napenda kutoa taarifa fupi kuhusu tukio lililotokea tarehe 11/07/2015 majira ya saa 10:00 hrs huko katika Hoteli ya St. Gasper hapa mjini Dodoma, kuwa wananchi walitoa taarifa majira ya saa nne asubuhi kwamba kuna mtu mmoja mwenye asili ya Kiasia amekamatwa na wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.

MNAMO TAREHE 14.08.2015 MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA ALIKUJA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEANDAMANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA CUF, NCCR – Mageuzi NA NLD KWA DHUMUNI LA KUMTAMBULISHA NA KUOMBA UDHAMINI WA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA KWA NAFASI YA URAIS.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...

 

9 years ago

Mtanzania

Kinondoni yatumia milioni 500/- kukabili kipindupindu

DSC_0092NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imetumia zaidi ya Sh milioni 500 kupambana na   kipindupindu tangu kilipozuka Agosti 15 mwaka huu.

Hadi sasa watu 1194 wameugua ugonjwa huo katika Manispaa hiyo na 17 wamefariki dunia.

Akizungumza   baada ya kupokea msaada wa dawa na vifaa tiba uliotolewa na Benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo,   Mussa Natty, alisema kila siku kuna wagonjwa wapya wanaripotiwa na jana walikuwa 15.

Msaada huo wenye thamani ya Sh milioni...

 

10 years ago

Habarileo

Sita mbaroni wizi wa milioni 500/-Stanbic

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita wakiwemo raia wawili wa Kenya, baada ya kukiri kuhusika na wizi wa fedha zaidi ya Sh milioni 500 zilizoibwa Oktoba 23 mwaka huu katika Benki ya Stanbic, tawi la Mayfair, Kinondoni.

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi latakiwa kuwachukulia hatua za kinidhamu askari wanaotoa siri za jeshi hilo

Jeshi la polisi mkoani Tabora limeagizwa kuwachukulia hatua za kinidhamu za kijeshi askari polisi ambao wanajihusisha na vitendo vya kihalifu na utoaji siri za jeshi kwa wahalifu kwa makusudi ya kujipatia kipato.

Agizi hilo limetolewa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amesema ni aibu kubwa kwa Jeshi la Polisi kuendelea kufanya kazi na Askari wasio waaminifu wanaovujisha siri za kupambana na uhalifu.

Agizo hilo la Mkuu wa mkoa wa Tabora Ludovick Mwananzila amelitoa katika hafla...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LITAENDELEA KUWEPO ENDAPO MAKAZI YA ASKARI WA JESHI YATAIMARISHWA-BALOZI SEIF IDDI

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akifungua Pazia kuashirika kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa
Nyumba ya Kuishi Askari Polisi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa
Kaskazini Pemba. Balozi Seif akikagua moja ya vyumba Kumi vilivyomo
ndani ya jengo linalojengwa kwa ajili ya makaazi ya Askari Polisi
Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba. Baadhi ya Makamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa
Kaskazini Pemba wakifuatilia hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani
ambapo wa kwanza kutoka kulia ni OCD...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU APOKEA SH. MILIONI 500 KUKABILI CORONA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya  Sh. 500,000,000/= kutoka kwa Kampuni ya Export Trading Group,  ukiwa ni mchango wa Kampuni hiyo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano, Frank Mtui, Kiongozi wa Kampuni (Tanzania) Niladri Choudhury, Afisa Uhusiano, Fatma Ally.Waziri Mkuu, Kassim...

 

10 years ago

GPL

HIVI NDIVYO IDRIS ALIVYOJIZOLEA MILIONI 500 ZA BBA

MSHIRIKI kutoka Tanzania, Idris Sultan usiku huu ameibuka mshindi wa shidano la Big Brother Hotshots na kujinyakulia dola za Kimarekani 300,000 zaidi ya milioni 500 za Kibongo. Idris Sultan. Idris ameshinda baada ya kuongoza kwa kura nyingi kutoka nchi tofauti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Big Brother hivi punde, Idris amepata kura 5 akifuatiwa na Tayo kura 2, Macky2 kura 2, Nhlanhla naye kura 2, huku JJ, Sipe na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani