Wazawa hawahitaji upendeleo, bali kuwezeshwa
NILIMSIKILIZA Rais Jakaya Kikwete akizungumza katika kongamano kuhusu gesi asilia Jumanne iliyopita. Kwa hakika alijitahidi kujenga hoja kwanini serikali haiwezi kuwapendelea wazawa katika suala la uwekezaji katika gesi asilia. Nimemuelewa,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Walimu hawahitaji mazingaombwe ya ahadi
WIKI iliyopita nilizungumzia kuhusu kukamilika vyumba vya madarasa na maabara katika shule za sekondari nchini, lakini nikagusia uhaba wa walimu unavyoathiri wanafunzi wa masomo ya sayansi.
Shule zinaongezeka kila kukicha, mwaka jana tu zilisajiliwa shule 106, kati ya hizo shule za awali zilikuwa mbili, za msingi 53 na sekondari 17 hizo ni za serikali, zisizo za serikali zilikuwa 32.
Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa jumla ya vyuo vya ualimu...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Mwimbaji injili aomba kuwezeshwa
MWIMBAJI chipukizi wa nyimbo za injili anayekuja kwa kasi, Magdalena Nyambalya, amesema ndoto yake ni kuja kuwa mwimbaji jukwaani. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam juzi, Nyambalya alisema...
10 years ago
Habarileo12 Jun
Ahimiza serikali za mitaa kuwezeshwa
MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Alvaro Rodriguez ametaka serikali za tawala za mikoa na serikali za mitaa kuwezeshwa zaidi ili kuweza kuwatumikia wananchi.
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Wakazi Babati kuwezeshwa kiuchumi
9 years ago
Habarileo23 Oct
Wahitimu JKT kuwezeshwa kujiajiri
VIJANA wanaohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea na kurudi makwao bila kupata ajira, wamewekewa mpango maalumu wa kuwafuatilia na kuwawezesha kujiajiri popote watakapokuwa nchini.
10 years ago
Habarileo23 Oct
Operesheni Tokomeza kuendelea kuwezeshwa
SERIKALI imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza na hatimaye kukamilisha majukumu yake kama ilivyokusudiwa.
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
30,170 kuwezeshwa na mradi kielimu, kiuchumi
WAKAZI wapatao 30,170 kutoka katika familia maskini katika vijiji 20 vya wilaya za Sikonge, Urambo na Kaliua, mkoani Tabora wanatarajiwa kunufaika kielimu na kiuchumi kutokana na jitihada za uwezeshwaji zinazofanywa...
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Kaya 5,000 za Mbozi kuwezeshwa kiuchumi
10 years ago
Dewji Blog12 Jun
UN yataka kuwezeshwa zaidi kwa serikali za mitaa
Balozi wa Spain nchini, Mh. Luis Cuesta Civis (kushoto) na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) wakikagua mitaala ya kufundishia kwenye ofisi za walimu katika shule ya msingi Yombo ambayo imejengwa na mradi wa awamu ya pili wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) iliyopo katika kijiji cha Chasimba, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wakati wa kukagua miradi inayofadhiliwa na...