Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazazi Lindi wamsononesha Samia

samiaNA SARAH MOSSI, LIWALE

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan  amesononeshwa na tabia ya wananchi wa majimbo ya Mchinga na Liwale mkoani Lindi, kushindwa kuwapeleka watoto wao shuleni na kusababisha mkoa huo kukosa wataalamu.

Samia, alisema hayo kwa nyakati tofauti katika mikutano yake ya  kampeni aliyoifanya  jana.

Akiwa Mchinga, Samia  alisema wakazi wake wanaipa kisogo elimu na kuipuuza, huku wakidai kujengewa shule za sekondari.

Aliwaambia wakazi hao kuwa hata,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

NAPE AKUTANA NA MAMA SAMIA LINDI

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgombea Ubunge jimbo la Rufiji Mohammed Mchengerwa wakati wa mkutan wa kampeni uliofanyika Sepemba 12, 2015 katika jimbo hilo. Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Rufiji Dk. Seleman Rashid akiteta jambo na aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mkuranga Adam Malima, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanywa na Mama Samia katika jimbo la Rufiji septemba 12, 2015. Bibi Mwanahawa Saidi akitangaza kuhama CUF kurejea CCM,...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI

 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, AbdallaMadebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM. Wananchi akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi

.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM pamoja na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja.

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa...

 

11 years ago

Habarileo

Wenye viwanda vya samaki wamsononesha Waziri

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya wenye viwanda vya kusindika minofu ya samaki, kununua samaki wasio na sifa kutoka kwa wavuvi.

 

11 years ago

Michuzi

mkuu wa mkoa wa lindi akagua miradi ya maendeleo wilayani liwale, atoa agizo kwa Wazazi kuhakikisha watoto waliopasi kuingia sekondari wawe wameripoti shuleni ndani ya siku 7

 Mkuu wa mkoa wa Lindi na ujumbe wake wakikagua Zahanati ya Kijiji cha Kikulyungu wilayani Liwale  Nyumba ya wahudumu wa Afya kijiji cha kikyulungu inayojengwa kwa Msaada wa Benjamin  Mkapa Foundation   Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Ludovick Mwananzila (mwenye suti ya kijivu) akikagua miradi ya Maendeleo wilayani Liwale  Mkuu wa mkoa wa lindi MheLudovick Mwananzila akihutubia wananchi wilayani liwale  kulia ni mkuu wa wilaya ya Liwale Mhe.  Ephraim Mmbaga Mkuu wa mkoa wa Lindi akikagua...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF LINDI WAWAPA SOMO VIONGOZI WA TALGWU MKOA WA LINDI

Mgeni rasmi kwenye kikao kilichoambatana na mafunzo ya mfuko wa taifa wa bima ya afya mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Lindi Vijijini bi Oliver Vavunge,ambapo aliwataka wawakilishi wafanyakazi kuwakumbusha kutimiza wajibu ili maslai yaweze kuboreka sanjari na kusisitiza kuwa watambue NHIF ina msaada mkubwa kwao na kwetu kama waajiriwa hivyo watumishi wa sekta ya afya wana jukumu kubwa la kusimamia huduma ili ziboreke zaidi kupitia fedha zinazolipwa kupitia bima ya afya,kushoto ni...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE MKOANI LINDI WATAKIWA KUKAMATIA FURSA KWA KUJIUNGA NA CHF-RC LINDI

MKUU WA MKOA WA LINDI MWANTUMU MAHIZA AKIWASISITIZA WASHIRIKI WA KONGAMANO LA WANAWAKE LILILOWAKUTANISHA TAKRIBANI WASHIRIKI WANAWAKE 360 KUTOKA WILAYA 6 ZA ,KUTUMIA MAFUNZO HAYO KUJIKWAMUA KIUCHUMI KWANI MIONGONI MWA WALIYOFUNDISHWA,UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI,KILIMO CHA MWANI NA MENGINEYO AMBAPO PIA KWA KUONYESHA DHAMIRA YA DHATI YA KUMKOMBOA MWANAMKE KIFIKRA NA KIUCHUMI ALIWATAKA KUHAKIKISHA WANAJIUNGA CHF ILI WAWEZE KUPATA HUDUMA ZA MATIBABU KWA GHARAMA NAFUU,KAULI MBIU YA MAFUNZO HAYO...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkoa wa Lindi (i): Majimbo ya Lindi Mjini na Ruangwa — 50 kwa 50

UTANGULIZI Leo tunaianza rasmi safari ya Mkoa wa Lindi baada ya kumaliza uchambuzi wa majimbo 41 yaliyo katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mara, Kigoma na Kilimanjaro.

 

11 years ago

Michuzi

NHIF NA CHF LINDI ZATOA ELIMU KWA WANAHABARI NA WARATIBU WA MIFUKO HIYO MKOA WA LINDI

Mkuu wa wilaya ya Lindi,Dr Nassor Ally Hamid akifungua mafunzo kwa wanahabari na waratibu wa NHIF/CHF wa mkoa wa Lindi,Kushoto ni Meneja Nhif Lindi,Bi Fortunata Kullaya na kutoka kulia ni Bw Faustine Nzota,Mshauri wa Mfuko wa Afya na anaefuata ni Mwenyekiti wa Bodi ya Afya Wilaya ya Nachingwea,Christopher Lilai. Meneja wa NHIF Mkoa wa Lindi akitoa taarifa fupi kuhusiana na mfuko huo katika mafunzo ya wanahabari na waratibu wa Mifuko ya CHF na NHIF Lindi. Mratibu wa CHF wilaya ya Liwale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani