Wazazi wasikimbie kivuli chao kuhusu malezi
Mafanikio ya mtoto kielimu huchangiwa na jitihada za mzazi na mwalimu, hitilafu kwenye jitihada za mmoja kati ya hawa huhusiana moja kwa moja na udhaifu wa kitaaluma wa mtoto.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Wagombea urais CCM wanapokikimbia kivuli chao
Wagombea urais kupitia CCM wameendelea kumiminika katika ofisi za makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma kuchukua fomu za kuwania urais, huku mbwembwe na kila aina ya majigambo vikitawala shughuli hiyo.
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Ikulu kutamu kwa Nkurunziza, Kagame, Kabila bila kujua mwisho wa kivuli chao
Kuna sura inayokinzana katika eneo la Afrika Mashariki na lile la Kati. Kuna wakati wanasiasa wanabisha kwenye eneo hilo. Pia, bado kuna mwangwi unaosukuma juu ya kile kinachoitwa ‘mabadiliko ya nyakati’.
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Wazazi Miss Tanzania wadai chao
Wazazi wa Miss Tanzania mpya, Lilian Kamazima wameitaka Kamati ya Miss Tanzania iwape maelezo ya uhakika kuhusu zawadi na taji la binti yao kwa kuwa hadi sasa wako njiapanda.
10 years ago
Mwananchi31 Dec
‘Wazazi zingatieni malezi bora kwa watoto’
Jamii imeshauriwa kujenga utamaduni wa kuzingatia malezi bora kwa watoto ili kujenga Taifa lenye maadili kwa kizazi cha sasa na kijacho.
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Wazazi vijana, wanahitaji mafunzo ya malezi ya watoto
Watu wanapooana wanatarajia kupata watoto. Pale wanapokosekana inakuwa ni majonzi makubwa kwa wanandoa hao. Ni ukweli kwamba watoto ni majaliwa Kutoka kwa Mungu, lakini kila mtu angependa ajaliwe.
11 years ago
Mwananchi29 Apr
SAFU YA ELIMU&MALEZI: Wazazi tuchunge uhuru tunaowapa watoto
>Katika mfululizo wa makala za malezi kwa watoto nimekuwa nikisisitiza kuwa ni muhimu watoto wapewe fursa ya kushiriki katika masuala ya kifamilia.
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Wakuu wa Idara wasikimbie wananchi
WAKUU wa Idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, wametakiwa kuachana na utaratibu wa kutuma wawakilishi kwenye mikutano ya wananchi kwani kufanya hivyo ni kuibua hofu ya maendeleo...
10 years ago
Michuzi10 Dec
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Malezi muhimu
 Mtoto yake malezi, tangu kale tunaambiwa,
Wamleavyo wazazi, vile anavyolelewa,
Na ndivyo yake makuzi, hivyohivyo yatakuwa,
Kwa jambo akielewa, huzeeka nalo hilo
Â
Â
Â
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania