Wagombea urais CCM wanapokikimbia kivuli chao
Wagombea urais kupitia CCM wameendelea kumiminika katika ofisi za makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma kuchukua fomu za kuwania urais, huku mbwembwe na kila aina ya majigambo vikitawala shughuli hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Wazazi wasikimbie kivuli chao kuhusu malezi
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Ikulu kutamu kwa Nkurunziza, Kagame, Kabila bila kujua mwisho wa kivuli chao
10 years ago
Habarileo02 Feb
Wagombea urais CCM kitanzini
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.
10 years ago
Mtanzania04 Sep
Wagombea urais CCM wavurugwa
![Abdulrahman Kinana](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Abdulrahman-Kinana.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KATIKA kile kinachoonekana ni kuvuruga kambi za wagombea urais mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepangua makatibu wa mikoa 17 kwa kuwahamisha vituo vyao vya kazi.
Makatibu hao ni pamoja na Mary Chatanda aliyekuwa Mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa amehamishiwa Singida.
Chatanda kwa muda mrefu amekuwa na msuguano ndani ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Arusha, huku kiini chake kikidaiwa ni misimamo tofauti ya vijana hao...
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM
10 years ago
Habarileo11 Jun
Wagombea urais CCM wafikia 28
IDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.
10 years ago
Mwananchi26 Jun
Wagombea urais CCM wagonga 40
10 years ago
GPLMDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA
10 years ago
Vijimambo09 Jun
MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM KUTOFIKA
![IMG-20150608-WA0032](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150608-WA0032.jpg?resize=469%2C350)