Wazazi wazuiwa kumpa jina mwana wao
Mahakama moja nchini Ufaransa imewazuia wazazi kutompatia jina la Nutella mwana wao wa kike
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAPOTI MTOTO WAO
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
Wazazi wa Miss Tanzania 2013 waelekea London kumpa sapoti mtoto wao
Na MATUKIO TZ BLOG
Wazazi wa Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akiongozwa na Baba yake wa Tatu Kutoka kushoto Pamoja na Mama yake wa Tatu Kutoka Kulia WakiwaWameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja na Marafiki Wengine Wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Katika Hatua za Mwisho Kabla ya Kusafiri Mchana wa leo Kuelekea Jijini London Kwenye Kilele cha Mashindano ya Miss World 2O14 yakakayohitimishwa Tarehe 14.12.2O14 ambapo Mtoto wao Miss Tanzania 2013 ...
10 years ago
VijimamboWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAOTI MTOTO WAO
10 years ago
GPLWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAOTI MTOTO WAO
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Wazazi wamtumia mwana wao kama 'chambo'
9 years ago
GPLSIMULIZI YA MPOTO: MKEWE AJIFUNGUA, ASHINDWA KUMPA JINA MTOTO
11 years ago
Michuzi25 Jul
9 years ago
Bongo508 Dec
Kanye West na Kim Kardashian watoa jina la mtoto wao wa kiume
![kanye and kim](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kanye-and-kim-300x194.jpg)
Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.
Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?
Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili...
10 years ago
Mwananchi26 May
Watoto 600 wapotezana na wazazi wao