Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri adaiwa kununua kalamu kwa dola 100

Waziri mmoja nchini Kenya amejipata taabani baada ya uchunguzi kugundua kuwa wizara yake ilinunua kalamu moja kwa dola 100.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bunge lapewa dola 100,000 kununua vifaa

CHAMA kinachoshughulika katika kupunguza silaha na maridhiano nchini China, kimetoa dola 100,000 (Sh milioni 160) kwa ajili ya kununua vifaa mbalimbali kwa matumizi ya Bunge, ikiwa ni pamoja na kompyuta na vipaza sauti vya kisasa.

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO


Na Farida Ramadhani na Josephine Majura

KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.

Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.

Akizungumza baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAZI YA MICHAEL JACKSON ‘NEVERLAND’ YAINGIA RASMI SOKONI, YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100

292899DB00000578-3101512-Everlasting_There_are_still_a_few_small_signs_that_the_property_-a-18_1432854494050Makazi maarufu ya marehemu Michael Jackson, yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza tangu kifo chake.  Nyumba hiyo ipo katika maeneo ya Santa Barbara, California nchini Marekani. Makazi hayo yanauzwa kwa dola milioni 100.292899E700000578-3101512-Not_the_same_Neverland_pictured_2001_now_known_as_Sycamore_Valle-a-25_1432854494339Makazi hayo yanayouzwa na kampuni ya Sotheby’s and Hilton & Hyland iliyolipa deni alilokuwa akidaiwa MJ na kuyachukua, yana ukubwa wa futi za mraba 12,000 na yamo katikati ya maziwa mawili huku nyumba ikiwa na vyumba 8.2928999A00000578-3101512-Mini_town_While_the_amusement_park_has_now_been_removed_there_ar-a-23_1432854494233Na sasa yamebadilishwa jina kutoka Neverland na kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maghembe adaiwa dola milioni 284

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni, imemkaanga Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, ikimtaka ajieleze bungeni zilipo dola za kimarekani milioni 284.5 ambazo serikali ilitakiwa kuzitoa ili kufanikisha awamu ya kwanza...

 

10 years ago

Vijimambo

DEADLINE NI KESHO ....MWISHO WA KUNUNUA TICKET ZA DISCOUNT KWA $75 NI KESHO ,BAADA YA KESHO ZITAKUWA $100.

           NUNUA YAKO SASA INGIA..    WWW.DIAMONDUSATOUR.COM AU PIGA 3016616207 NOW.

 

11 years ago

Michuzi

DAKIKA 90 ZA DUNIA: Kwanini Facebook imetumia dola bilioni 19 kununua WhatsApp?

Photo: Mobile88.com Kama wewe ni mmoja wa wanaotumia njia ya mawasiliano iliyojipatia umaarufu ya WhatsApp, basi ujue kuwa nawe ni miongoni mwa wateja takribani nusu bilioni walioufanya mtandao huo kuwa maarufu zaidi duniani kwa kipindi kifupi tu. Ni umaarufu huu uliofanya kampuni kubwa ya mawasiliano ya Facebook wiki hii kuona umuhimu wa kutumia dola za kimarekani bilioni 19 kununua WhatsApp. Lakini kwanini kampuni itumie kiasi hicho kikubwa kwa kampuni kama hii? Hii ni sehemu ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Senegal apigwa kalamu

Waziri mkuu nchini Senegal Aminata Toure ameachishwa kazi baada ya chama tawala kushindwa katika uchaguzi mkuu.

 

5 years ago

Michuzi

KALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI


Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha


Na Ahmed Mahmoud Arusha

CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.

Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeiba dola Milioni 100 arejeshwa China

Shirika la habari la taifa la Uchina, linaarifu kuwa afisa wa zamani ambaye anashutumiwa kwa ufisadi mamilioni ya dola, amerejeshwa nyumbani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani