Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri aipa polisi siku moja kujieleza

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga ametoa siku moja kwa Jeshi la Polisi kueleza ni kwa nini askari hawalindi Bandari ya Dar es Salaam badala yake kazi hiyo inafanywa na kampuni binafsi za ulinzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gwao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Habarileo

Waziri wa zamani asota polisi siku 3

WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yussuf Himid, anaendelea kusota katika kituo cha Polisi kwa muda wa siku tatu tangu alipokamatwa mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

StarTV

Tatizo la Kukaimu kwa muda mrefu, TAMISEMI yapewa siku sita kujieleza

Na Seda Elias,

Dar es Salaam.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mahesabu ya Serikali za Mitaa LAAC imetoa siku sita kwa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI kutoa majibu ya tatizo la watendaji wa Serikali kukaimu nafasi mbalimbali kwa muda mrefu.

Ni agizo la Mwenyekiti wa Kamati hiyo Rajab Mbaruk Mohamed wakati wa ukaguzi wa mahesabu ya Manispaa ya Ilala jijini Dar Es Salaam.

Mwenyekiti huyo wa LAAC amesema tatizo la kukaimu nafasi nyeti katika Serikali limekuwa ni sugu kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA

Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.

Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI KIVULI WA ELIMU APINGA SERIKALI KUWATAKA WALIMU KUJIELEZA KWA WAKUU WA MIKOA

Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lyimo (Chadema) akifafanua jambo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu matatizo katika sekta ya elimu. Kushoto ni Katibu wa Bawacha, Grace Tendega. (Picha na Francis Dande)
Na MwandishiWetu
WAZIRI kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lymo, amepinga kitendo cha serikali cha kuwataka walimu waliofunga shule kutokana na uhaba wa chakula waende wakajieleze kwa Mkuu wa Mkoa kutokana na hatua hiyo.

Suzan, alitoa kauli hiyo baada ya serikali kudai...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ANGELINE MABULA AIPA KONGOLE NBC

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameipongeza Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kuanzisha utaratibu wa kutembelea viongozi wanawake kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na uboreshaji huduma za benki hiyo.
Dkt Mabula alitoa pongezi hizo jana ofisini kwake jijini Dodoma baada ya kutembelewa na ujumbe wa NBC ukiiongozwa na Meneja wa Tawi la Benki hiyo jijini humo Bi. Happiness Kizigira ikiwa ni muendelezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KOMBANI AIPA SOMO MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ( kati kati) akisisitiza jambo.
 Katibu Mkuu wa TSSA, Meshack Bandawe ( kushoto ) akiwa na mwezeshaji wa mafunzi, Patrick Ngwila.
Na John Nditi, Morogoro
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, ameitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani