Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri aokoa uhai wa mjamzito

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid.MBUNGE wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, juzi alichangia kuyaokoa maisha ya Amina Bakari (20), mjamzito aliyesota porini kwa saa sita akisubiri usafiri wa kumfikisha hospitali ya wilaya iliyopo Utete kwenda kujifungua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI

SERIKALI imetolea ufafanuzi wa kauli iliyotolewa na  baadhi ya Wananchi  wanaodai kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii imekuwa ikithamini uhai wa wanyamapori kuliko uhai wa binadamu.
 Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema  uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai  wa wanyamapori 
Amesema licha ya  kuwa  binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 30, Magufuli aokoa Sh1trilioni

Rais John Magufuli leo ametimiza mwezi mmoja tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo huku akiweka rekodi ya kuokoa kiasi cha Sh997.4 bilioni (karibu Sh 1trilioni) ambazo zilikuwa zitumike kwa matumuzi yasiyo ya lazima, na ukwepaji kodi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Aokoa dereva kwa kukunja mlango wa gari

Mwanamume mmoja nchini Marekani alimuokoa dereva wa gari lililokuwa linateketea kwa kuukunja mlango wa gari hilo kwa mikono yake.

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA TYSON CHAMLIZA ZAIDI MBONI, AY AOKOA JAHAZI

Mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba akilia kwa uchungu akiwa nje ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro wakati wakisubiri kusafirisha maiti kuelekea Dar. Marehemu Tyson ndiye alikuwa Mtayarishaji wa kipindi chake na walikuwa wote katika safari hiyo, ingawa walikuwa magari tofauti.…

 

9 years ago

Mtanzania

Filikunjombe Alivyokatishwa uhai

MTZ jmosi new july.indd*Shuhuda aeleza jinsi alivyoona helikopta ikiwaka angani kabla ya kuanguka
*Maiti zaharibika zashindwa kutambuliwa, ipo ya baba wa Jerry Silaa, Kapteni Silaa
*Yaelezwa helikopta hiyo iliwahi kumbeba Lowassa, Mbowe, Nassari alianguka nayo

Na Waandishi Wetu

ALIYEKUWA mgombea ubunge katika Jimbo la Ludewa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe, ni miongoni mwa watu wanne waliothibitika kufariki katika ajali ya helikopta iliyoanguka juzi usiku katika Pori la akiba la Selous.

Wengine...

 

10 years ago

Dewji Blog

‘Thamani ya uhai haikadiriki’

swahili

Wanasayansi wanakadiria kuwa inagharimu zaidi ya dola za marekani trilioni elfu sita kuiga tishu na viungo vya mwili wa binadamu. Gharama hiyo ni mara 77 ya pato la dunia. Pamoja na gharama hii yote, hakuna hakikisho kwamba jambo hili litafanikiwa. Gharama hii haijumuishi akili aliyojaaliwa binadamu. Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na mwanasayansi Harold J. Morowitz wa chuo kikuu cha Yale nchini Marekani.

Nchini Tanzania kuna ongezeko kubwa la kuenea kwa magonjwa yatokanayo na mtindo...

 

10 years ago

Vijimambo

NesiWangu: MAJI NI UHAI !.

NesiWangu: MAJI NI UHAI !.: MAJI NI UHAI Kama picha hii inavyoashiria, ardhi bila maji hunyauka na kupasuka,kadhalika mmea bila maji hunyauka na kufa. Asilimia 60%...

 

11 years ago

BBCSwahili

'Afufuka baada ya kujitoa uhai'

Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya mwanamume mmoja aliyedhaniwa kufariki kufufuka kutoka katika chumba cha kuhifadhia maiti

 

11 years ago

Mwananchi

Maambukizi ya Ukimwi yatishia uhai wa watoto

>Maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yameelezwa kuwa tishio na asilimia 50 ya watoto wanaozaliwa na virusi vya ugonjwa huo hupoteza maisha ndani ya miaka miwili tangu kuzaliwa wasipopatiwa dawa za kupunguza makali ya virusi (ARV).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani