Siku 30, Magufuli aokoa Sh1trilioni
Rais John Magufuli leo ametimiza mwezi mmoja tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo huku akiweka rekodi ya kuokoa kiasi cha Sh997.4 bilioni (karibu Sh 1trilioni) ambazo zilikuwa zitumike kwa matumuzi yasiyo ya lazima, na ukwepaji kodi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Mar
Waziri aokoa uhai wa mjamzito
MBUNGE wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, juzi alichangia kuyaokoa maisha ya Amina Bakari (20), mjamzito aliyesota porini kwa saa sita akisubiri usafiri wa kumfikisha hospitali ya wilaya iliyopo Utete kwenda kujifungua.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LDRHNssOdPU/VlL_0MSOXHI/AAAAAAAIH-I/4NDLGYREfv0/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU YA UHURU KUWA SIKU YA KUFANYA KAZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-LDRHNssOdPU/VlL_0MSOXHI/AAAAAAAIH-I/4NDLGYREfv0/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
Kwamba maadhimisho ya Uhuru ya mwaka huu (2015) yatatumika kama kichocheo cha kujenga tabia ya kufanya kazi...
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Aokoa dereva kwa kukunja mlango wa gari
11 years ago
GPLKIFO CHA TYSON CHAMLIZA ZAIDI MBONI, AY AOKOA JAHAZI
9 years ago
Mwananchi20 Sep
Siku 29 za Magufuli
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Siku 10 kampeni za Dk Magufuli
9 years ago
Mwananchi25 Nov
Siku 21 za mchakamchaka wa Magufuli
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Magufuli atoa siku 7 kwa wapigaji
>> Awaambia wasipolipa kodi ndani ya muda huo wataisoma namba
>> Afichua serikali kutopeleka fedha za maendeleo Wizarani
>> Amuonya mfanyabiashara anayetaka kumili ufukwe wa Coco
Na Kulwa Mzee , Dar es Salaam
RAIS Dk. John Magufuli, ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitish makontena yao bandarini bila kulipa kodi, kujisalimisha wenyewe na kulipa fedha hizo za serikali na watakaokamatwa baada ya muda huo watachukuliwa hatua zaidi za kisheria.
Kauli hiyo ya Rais Magufuli, imekuja siku...
9 years ago
Habarileo05 Nov
Singida wamwomba Magufuli siku ya Ukimwi
WAKATI Rais mteule, Dk John Magufuli anaapishwa leo kushika wadhifa huo rasmi, mkoa wa Singida umemwomba awe mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika kitaifa mjini hapa, Desemba mosi mwaka huu.