Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku 29 za Magufuli

Wakati mgombea urais wa CCM John Magufuli ametimiza siku 29 za kampeni, baadhi ya maeneo aliyopita kuwanadi wagombea ubunge wa chama chake, alikutana na wakati mgumu kwa baadhi ya wabunge kukataliwa na wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU YA UHURU KUWA SIKU YA KUFANYA KAZI

Kwa mujibu wa  Sheria ya Sikukuu za Kitaifa  (The Public Holidays Act, Cap 35) pamoja na Sheria zingine zinazompa mamlaka Rais kutangaza siku yoyote kuwa sikukuu au mapumziko,  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameamua kuwa maadhimisho ya Sherehe za Uhuru na Jamhuri zitakazofanyika tarehe 9 Desemba, 2015, yatumike  kwa kufanya kazi.  
Kwamba maadhimisho ya Uhuru ya mwaka huu  (2015) yatatumika kama kichocheo cha kujenga tabia ya kufanya kazi...

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 21 za mchakamchaka wa Magufuli

Siku 21 za utawala wa Rais John Pombe Magufuli zimewapa faraja Watanzania kiasi cha wengi wao kutumia msemo wa ‘kama ni nazi basi safari hii imepata mkunaji’ wakimaanisha mchapakazi.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 kampeni za Dk Magufuli

Siku 10 tangu mgombea wa urais kupitia chama tawala (CCM), Dk John Magufuli alipozindua kampeni zake jijini Dar es Salaam zilizoambatana na ahadi mbalimbali kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kasi na kuijenga Tanzania mpya, zilikamilika juzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 30, Magufuli aokoa Sh1trilioni

Rais John Magufuli leo ametimiza mwezi mmoja tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo huku akiweka rekodi ya kuokoa kiasi cha Sh997.4 bilioni (karibu Sh 1trilioni) ambazo zilikuwa zitumike kwa matumuzi yasiyo ya lazima, na ukwepaji kodi.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kutikisa Dar kwa siku 3

MGOMBEA wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli leo anaanza kampeni katika mkoa wa Dar es Salaam, ambako atanguruma kwa siku tatu. Atafanya kampeni Dar, baada ya kutikisa katika mikoa ya Mwanza na Geita. Jana, Dk Magufuli alikuwa na mikutano katika baadhi ya majimbo ya Geita.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli atoa siku 7 kwa wapigaji

Pg 1>> Awaambia wasipolipa kodi ndani ya muda huo wataisoma namba

>> Afichua serikali kutopeleka fedha za maendeleo Wizarani

>> Amuonya mfanyabiashara anayetaka kumili ufukwe wa Coco

Na Kulwa Mzee , Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli, ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitish makontena yao bandarini bila kulipa kodi, kujisalimisha wenyewe na kulipa fedha hizo za serikali na watakaokamatwa baada ya muda huo watachukuliwa hatua zaidi za kisheria.

Kauli hiyo ya Rais Magufuli, imekuja siku...

 

9 years ago

Habarileo

Singida wamwomba Magufuli siku ya Ukimwi

WAKATI Rais mteule, Dk John Magufuli anaapishwa leo kushika wadhifa huo rasmi, mkoa wa Singida umemwomba awe mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika kitaifa mjini hapa, Desemba mosi mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani