Waziri aupa mgodi siku 14 kuanza uzalishaji
Wizara ya Nishati na Madini imetoa siku 14 kwa uongozi wa mgodi wa dhahabu wa Backreef Ltd uliopo Kata ya Lwamgasa wilayani hapa Mkoa wa Geita kuanza uzalishaji lasivyo itaufutia leseni ya uchimbaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSerikali yatoa siku 14 kwa mgodi wa Buckreef kuanza uzalishaji
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani ametoa siku 14 kwa mgodi wa dhahabu wa Buckreef kuanza uzalishaji ama sivyo wataandikiwa hati ya makosa na Afisa Madini Mkazi katika mkoa wa Geita. Naibu Waziri alitoa agizo hilo baada ya kufika katika mgodi huo uliopo katika kata ya Lwamgasa mkoani Geita na kuona hakuna shughuli zozote za uzalishaji zinazoendelea.
“Najua kuwa hamjazalisha dhahabu mpaka sasa, lakini lazima mzalishe ili kulipa kodi na mrabaha,...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Zew0yiZueLY/VojjdgqHONI/AAAAAAAIQDs/WIzz7rQD9aw/s72-c/Kassim_Majaliwa.jpg)
WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOANI RUVUMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Zew0yiZueLY/VojjdgqHONI/AAAAAAAIQDs/WIzz7rQD9aw/s1600/Kassim_Majaliwa.jpg)
Baada ya Waziri Mkuu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, atapokelewa na viongozi wa Chama na Serikali, pia atakwenda Ikulu kupokea taarifa ya maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.
Aidha, siku ya Jumatatu atakuwa na shughuli za kufungua tawi la Benki ya Posta mjini Songea, kukagua maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) kanda ya Songea...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aicOCt-Df7k/Xk5qkxsHA7I/AAAAAAALeec/mB0GFkmf9Lwt2aW7W0vmqjo1hjV8J7K6gCLcBGAsYHQ/s72-c/e5f451a3-8467-4e5b-a1e1-a6859d760091.jpg)
WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanza ziara ya siku mbili ya kikazi na ya chama cha mapinduzi(CCM)Mkoani hapa.
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia jenerali mstaafu Emanuel Maganga amesema kuwa waziri mkuu atawasili mkoani hapa kesho majira ya saa tatu na nusu asubuhi kwaajili ya shughuli maalum za chama cha mapinduzi(CCM)pamoja na shughuli zingine za kiserikali ikiwemo kupewa taarifa...
9 years ago
MichuziNAIBU Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jaffo atoa siku 27 kwa wakurugenzi wa halmashauri nchini kuanza kutumia mfumo wa kielekroniki
9 years ago
MichuziTANESCO KUONDOLEWA KATIKA UZALISHAJI UMEME, WIND EA KUANZA KUZALISHA MWISHONI 2017.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8hezOt3-Wyg/VQFHIG87K8I/AAAAAAAHJwc/WBGdy05uVrI/s72-c/Untitled1.png)
Mgodi wa Dhahabu Chunya wahesabiwa siku
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na Wataalam wa Mazingira wameagizwa kutoa elimu ya mazingira kwa wawekezaji wa Mgodi wa Dhahabu wa Sunshine uliyopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya .Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Injinia Binilith Mahenge jana alipotembelea machimbo ya Mgodi huo nakubaini kuwa unaendeshwa bila kuzingatia Kanuni za Mazingira.
Katika ziara hiyo Mh. Mahenge alibaini...
10 years ago
VijimamboSIKU YA FAMILIA DAY YAFANA ,MGODI WA DHAHABU WA BUZWAGI GOLD MINE
9 years ago
StarTV17 Nov
Wahanga wa mgodi nyangarata wasimulia walivyoweza kuishi kwa siku 41 wakila wa dudu
Wahanga wa maafa ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Nyangarata wilayani Kahama mkoani Shinyanga takribani Siku 41 wakiwa chini ya Ardhi wamesema kuwa waliofanikisha kunusuru maisha yao kwa kula wadudu walipokuwa katika shimo hilo.
Hata hivyo kati ya wahanga 6 mmoja aliyetambulika kwa jina la Mussa Supana alipoteza maisha na watano walinusurika na kulazwa kwenye Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Kahama, huku viungo vyao vikiwa vimekakamaa na hali zao bado taabani kufuatia kukosa...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Waziri asifu uzalishaji mali JKT
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10