Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Fenella Mukangara kufunga Mashindano ya Proin Women Taifa Cup leo

Hatimaye leo fainali ya Proin Women Taifa Cup itafanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi kwa kuzikutanisha timu za Pwani na Temeke huku Mshindi wa Kwanza katika Michuano hiyo ataondoka na Kitita cha Shilingi za Kitanzania Milioni 3 huku mshindi wa Pili akiondoka na Milioni 1 na Mshindi wa Tatu akiondoka na Kitita cha Milioni 1.Mashindano ya Women Taifa Cup ni mashindano ya kwanza kufanyika Nchini Tanzania huku yakiwa yamedhaminiwa na Kampuni ya Proin Promotions na Azam.Katika fainali...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI MUKANGARA KUFUNGA MASHINDANO YA PROIN WOMEN TAIFA CUP

Hatimaye fainali ya Proin Women Taifa Cup itafanyika leo katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi kwa kuzikutanisha timu za Pwani na Temeke huku Mshindi wa Kwanza katika Michuano hiyo ataondoka na Kitita cha Shilingi za Kitanzania Milioni 3 huku mshindi wa Pili akiondoka na Milioni 1 na Mshindi wa Tatu akiondoka na Kitita cha Milioni 1.
Mashindano ya Women Taifa Cup ni mashindano ya kwanza kufanyika Nchini Tanzania huku yakiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais wa TFF Jamal Malinzi apokea jezi kutoka kampuni ya Proin kwaajili ya mashindano ya Women Taifa Cup

unnamed

Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza (kushoto) akimkabidhi Jezi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi kwaajili ya Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama Taifa Women Cup yanayotarajiwa kutimbua vumbi tarehe 1 January 2015.

Na Josephat Lukaza – Lukaza Blog

Mkurugenzi wa makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza amkabidhi jezi Rais wa TFF, Mh Jamal Malinzi kwaajili ya michuano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama Taifa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Temeke mabingwa wa Proin Women Taifa Cup mara baada ya kuifunga Pwani katika fainali

Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, Mh Dkt Femella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi wakati wa fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup yaliyofikia Tamati leo kwa kuzikutanisha Timu za Temeke na Pwani. IMG_1261 Waziri wa habari utamaduni na Michezo, Mh Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Temeke mara baada ya kuibuka washindi wa Mashindano ya Proin Women Taifa Cup ambayo yalichezwa katika Dimba la Azam huku Proin...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Fenella Mukangara akutana na Mmiliki wa Startimes

Star1
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kushoto) akielezea jambo kwa Mmiliku wa Startimes Bw. I MR. Pang alipotembelea ofini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.Star3.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (katikati) akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga wakati wa kikao chao na mmiliki wa Startime Bw.Pang (kushoto) alipotembelea ofoini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.Star4. (1)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI FENELLA MUKANGARA AWATAKA WASANII WAIELIMISHE JAMII KUHUSU KATIBA MPYA

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya wadau kutoka sekta mbalimbali za wizara hiyo.…

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara Mukangara achanja mbuga

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa eneo hilo wakati akipokuwa akitangaza sera za chama chake na kuwaomba wampigie kura katika uchaguzi ujao pamoja na madiwani wengine sita wa chama cha mapinduzi.Dkt Fenella alitaja vipaumbele vyake katika jimbo hilo ambavyo ni Maji,Elimu,Afya pamoja na ajira kwa Vijana na kuwasihi wakazi hao kuchagua maendeleo bora yatayopatikana ndani ya CCM.Mwenyekiti  wa CCM mkoa wa Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Fenella Mukangara akabidhi vifaa vya Michezo kwa Shule za Sekondari jijini Dar leo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo mmoja wa wanafunzi waliowakilisha shule zao katika hafla hiyo leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni ya Vodacom Salum Mwalimu. Meneja Uhusiano wa Vodacom Salum Mwalimu(kushoto) akimkabidhi hundi ya mfano yenye thamani ya shilingi Milioni moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani