Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Jafo amtaka Ras Pwani kuanza na Miradi ambayo haijakamilika

Na  Majid Abdulkarim

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo amemtaka Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere kuanza utendaji kazi wake kwa kufanyia kazi  miradi ya mabweni, mabwalo na vituo vya afya ambavyo havijakamilika kwa wakati kwani ni miradi iliyotumia pesa nyingi na muda mrefu katika Mkoa huo.

Mhe. Jafo ametoa kauli hiyo leo wakati Dkt. Magere alipokuja kuripoti OR-TAMISEMI Mtumba Jijini Dodoma mara baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGHEMBE ATAMBELEA MIRADI YA MAJI MKOA WA PWANI

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akimuonesha Waziri wa Maji, Profesa Maghembe samaki waliokufa katika bwawa linalosadikiwa kutiwa sumu na mtu asiyejulikana.

 Mto Wame ambao ndiyo chanzo kikuu cha maji cha mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Chalinze jinsi ulivyochafuka. Mkurugenzi wa majisafi na usafi wa mazingira Chalinze Christa Mchomba akimuonesha Waziri wa Maji Profesa Jumanne maghembe na aliyoongozana nao jinsi mto Wame ulivyochafuka, aliyeinama ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AMTAKA RC MORO KUSIMAMISHA MCHAKATO WA UUZWAJI WA ENEO KILOSA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akizungumza baada ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Kata ya Nondwa wilayani Bahi, Dodoma. Muonekano wa Shule ya Sekondari ya Nondwa iliyopo wilayani Bahi mkoani Dodoma ambayo imezinduliwa na Waziri Selemani Jafo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akikagua madarasa ya shule ya Sekondari Nondwa baada ya kuizindua. WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kusimamisha mchakato wa...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE AMOS MAKALLA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI MIKOA YA PWANI NA DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri wa Maji, Mhe Amos Makalla ameanza ziara yake ya siku nne ya kukagua miradi ya maji katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam kwa kutembelea tenki la maji la Chuo Kikuu cha Ardhi na mradi wa maji Ruvu Juu.  “Serikali hailengi tu kuleta maji, ila pia kutatua tatizo la upotevu wa maji. Bali, tumejiandaaje kupokea maji ya kutosha kutokana na mradi mkubwa unaoendelea Ruvu Juu. Hivyo, hatuna budi kukarabati au kujenga kabisa upya matenki yote mabovu kabla ya kuanza kupata maji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jafo: Changieni miradi ya maji

MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jafo, amewasihi wakazi wa jimbo hilo kuzingatia uchangiaji wa mfuko wa maji ili kuwezesha miradi inayotekelezwa kuwa endelevu na kuondokana na kero ya maji ambayo imekua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jafo ahimiza uchangiaji miradi ya maji

MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jafo, amewasihi wakazi wa jimbo hilo kuzingatia uchangiaji wa mfuko wa maji ili kuwezesha miradi inayotekelezwa kuwa endelevu na kuondokana na kero ambayo imekuwa ikiwakabili kipindi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jafo atoa milioni 71 kukamilisha miradi ya maendeleo

MBUNGE wa Kisarawe, mkoani Pwani, Selemani Jafo (CCM) ametoa shilingi milioni 71 kwa ajili ya kukamilisha baadhi ya miradi ya maendeleo jimboni humo ikiwemo ujenzi wa maabara unaoendelea katika shule...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUMUAGA RAS TANGA NA KUMKARIBISHA RAS RUKWA KATIKA UKUMBI WA KANYAU SUMBAWANGA MJINI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisalimiana na Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa sasa Mkoa wa Tanga Alhaj Salum Chima  muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kumuaga Ndugu Chima na kumkaribisha Ndugu Smythies Pangisa (katikati) aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara sasa Mkoa wa Rukwa. Hafla hiyo ilifanyika tarehe 13 Juni 2015 katika ukumbi wa Kanyau Sumbawanga Mkoani Rukwa.Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya hafla hiyo ambaye pia ni Meneja wa SIDO Mkoa wa Rukwa Ndugu...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge amtaka Waziri ajiuzulu

MBUNGE wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF), amemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kujiuzulu kwa kushindwa kuisimamia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kukamata mafisadi wakubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani