Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI KAIRUKI-CHANGAMKIENI FURSA ZA UWEKEZAJI WA MAFUTA YA ALIZETI

Na Mwandishi wetuWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini, Angellah Kairuki ametoa rai kwa Watanzania kuwekeza katika sekta ya mafuta ya kula kwa kuzingatia uhitaji na soko lililopo ndani na nje ya nchi.
Ametoa rai hiyo Mei 28, 2020 alipotembelea na kukagua kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kula cha SUNSHINE kinachozalisha mafuta yanayotengenezwa kwa kutumia malighafi ya alizeti yanayoitwa Sunbelt kilichopo katika eneo la Zuzu Jijini Dodoma.
Akiwa katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI ARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MAGID – KONDOA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akitoa maelekezo ya ufuatiliaji kwa Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Kanda ya Kati Bw. Revocatus Rasheli wakati wa ziara ya kukagua kiwanda hicho cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha MAGIN Ltd Kilichopo Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma iliyofanyika Mei 21, 2020. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akitoa majumuisho wakati akihitimisha ziara yake leo Mei 21, 2020...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana changamkieni fursa za uwekezaji — Dk Bilal

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji kwa njia ya ubia kutoka kwa wawekezaji wa nje, ili kujitengenezea fursa za ajira...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri: Changamkieni fursa EAC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuchangamkia biashara kwenye masoko ya kimataifa ili kukuza uchumi wa nchi hizo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Planet Core yaangalia fursa ya uwekezaji sekta ya elimu, mafuta na gesi Zanzibar

458

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Planet Core ya Nchini India hapo Nyumbani kwake Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Kati kati ni Mwenyekiti wa Timu ya Uongozi wa Planet Core Bwana Deepak Balaji na Kulia ni Rais wa Taasisi hiyo Bwana Dilip Kulmarni.

Na Othman Khamis Ame

Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na Miundo mbinu ya Elimu, Madini, mafuta na Gesi, nishati na mawasiliano ya Planet Core kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AWAPONGEZA VIONGOZI MKOA WA SINGIDA KWA KUHIMIZA UWEKEZAJI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha kuchakata mafuta ya alizeti cha Yaza Investment kilichopo Wilaya ya Iramba mkoani hapa, Yusuph Nalompa, akizungumza mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Angela Kairuki (katikati), sababu ya kiwanda hicho kushindwa kuanza uzalishaji alipokitembelea wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja ya kutembelea miradi ya uwekezaji mkoani hapa jana. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida,  Dk. Rehema Nchimbi. Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Changamkieni fursa zilizopo’

Vijana wametakiwa kuvunja makundi yaliyoundwa wakati wa kampeni za uchaguzi ili kuchangamkia fursa zilizopo kwenye maeneo yao na kuinua uchumi.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wakulima Mbeya changamkieni fursa’

Wakulima Mkoa wa Mbeya wametakiwa kuchangamkia kilimo cha kibiashara ili waweze kubadili maisha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake changamkieni fursa — Dendego

WANAWAKE wajasiriamali mkoani Tanga wametakiwa kuchangamkia fursa zitakazotolewa kupitia kampeni ya ‘Mwanamke na Uchumi’ mwanzoni mwa mwezi ujao, ambapo zaidi ya wanawake 300 watanufaika na mafunzo hayo yanayotolewa na kampuni...

 

5 years ago

Michuzi

Vijana wa Dar Changamkieni Fursa


************************Nteghenjwa Hosseah, Dar es salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(Mb) amewataka vijana wa Mkoa wa Dar es Salaam kuchangamkia fursa za mikopo ya vijana inayotolewa katika kila Halmashauri Nchini.
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati alipokua akifungua Kampeni ya Vijana Twende inayolenga Vijana wa Dar es salaam kuchangamkia fursa za kujukwamua kiuchumi iliyofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani