Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe kupokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Rais Kikwete

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini Washington D.C, Marekani tarehe 09 Aprili, 2014.
Tuzo hiyo ambayo hutolewa kila mwaka na Taasisi ya Uchapishaji ya African Leadership Magazine yenye makazi yake nchini Marekani kwa viongozi wa Afrika wanaofikia vigezo vilivyowekwa na Taasisi hiyo ikiwa ni pamoja na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAZIRI MEMBE KUPOKEA TUZO YA AFRICA’S MOST IMPACTFUL LEADER OF THE YEAR KWA NIABA YA RAIS KIKWETE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini Washington D.C, Marekani tarehe 09 Aprili, 2014. Tuzo hiyo ambayo hutolewa kila mwaka na Taasisi ya Uchapishaji ya African...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amwakilisha Rais Kikwete kwenye hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) wa katikati alipokuwa anaingia kwenye uwanja uliotumika kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe. Pakalitha Mosisili jijini Maseru jana. wengine katika picha, kutoka kulia ni Bibi Talha Mohammed, Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Mhe. Radhia Msuya, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ambaye pia anawakilisha Lesotho. kutoka kushoto ni Maafisa wa Serikali ya Lesotho.Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWASILI MALAWI KUMWAKILISHA MHE. RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA ALIYEKUWA BALOZI WA MALAWI NCHIN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Blantyre nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Marehemu Flossie Gomile-Chidyaonga aliyefarikii dunia tarehe 09 mei, 2014 Jijini na Dar es Salaam na anatarajiwa kuzikwa tarehe 14 Mei, 2014. Mhe. Membe anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi hayo. 
Balozi wa...

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATOA SHUKRANI KWA WATANZANIA KWA NIABA YA RAIS


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa salamu za shukrani kwa Waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano,Dayosisi ya Dar Es Salaam kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni kilele cha siku tatu za shukrani kwa Mungu baada ya maambukizi ya virus vya corona kupungua nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa salamu za shukrani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hizi tuzo zingine kwa Rais Kikwete hapana

HABARI iliyosambazwa kwa vyombo vya habari ni kwamba Rais Jakaya Kikwete amepewa tuzo nyingine ya The Icon of Democracy. Ni icon au agony of democracy? Ajabu! Pamoja na wahusika kujisifu, ukichunguza sana unagundua kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

JK AKABIDHIWA RASMI TUZO YAKE NA WAZIRI MEMBE LEO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa maelezo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kumkabidhi Tuzo ya Heshima ya Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa ziadi katika Maendeleo Barani Afrika kwa mwaka 2013 aliyoipokea kwa niaba ya Mhe. Rais Kikwete tarehe 9 Aprili, 2014 Jijini Washington D.C, Marekani. Heshima hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa na Jarida Maarufu la Kimataifa la African Leadership Magazine...

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WILAYANI KARAGWE WAANDAMANA KUMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KURUHUSU IBAADA DC AWAPOKEA KWA NIABA YAKE NA KUTOA NENO.

 Viongozi wa dini wilayani Karagwe wakiwa kwenye maandamanoViongozi wa madhehebu  ya Dini wilayani Karagwe wakimsikiliza mkuu wa wilaya baada ya kumaliza maandamano yao.
 Askofu Almachius Rweyongeza mwenye kanzu nyeupe pamoja na viongozi wengine wa dini wakiongea na viongozi wenzao wa dini.Askofu Almachius Rweyongeza kulia akiongea na viongozi wenzake wa dini baada ya kupokea maandamano ya Amani yaliyolenga kumshukuru Rais Magufuli kwa kutofunga nyumba za ibaada na kuwaruhusu watanzania...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA MTANZANIA ALIYESHINDA TUZO ZA COMMONWEALTH MJINI LONDON

Mhe. Bernard Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa na Julius James Shirima, mshindi wa Tuzo ya Vijana wa Nchi za Jumuiya ya Madola upande wa Afrika. Kwenye mazungumzo mafupi, Mhe. Membe alimpongeza Shirima kwa tuzo hizo na aliahidi kumpa ushirikiano kupitia Wizara anayoiongoza ili vijana wengi wa Kitanzania wanufaike na mchango wa Shirima na pia waige mfano wake na kuendelea kupeperusha vema bendera ya Tanzania.Julius Shirima, mshindi wa Tuzo za Vijana wa nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani