Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AKANUSHA TAARIFA YA SHULE, VYUO KUFUNGULIWA KESHO

DODOMA, Tanzania
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba vyuo na shule vitafunguliwa kesho siyo za kweli na kwamba ni taarifa za upotoshaji, zipuuzwe.

Taarifa hiyo ambayo haioneshi chanzo chake kama ni ya kwenye televisheni au kwenye Blog, imeunganisha kauli ya TAMISEMI na kuweka picha ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ikionesha kwamba vyuo na shule vitafunguliwa Jumatano bila kuonesha ni Jumatano ipi.

 Jumanne iliyopita (Machi 17, 2020), Waziri Mkuu...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO (MATIs)


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndugu Gerald M. Kusaya anawatangazia wanachuo na wakufunzi kuwa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo (MATI) vimefunguliwa rasmi tarehe 01 Juni, 2020 kufuatia agizo la Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli alilotoa tarehe 21 Mei, 2020.

Wanafunzi wote wa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo nchini wanatakiwa kuendelea kuripoti vyuoni kwa ajili ya kuendelea na masomo yao. Wizara inawataka wanafunzi wote kuhakikisha wanakuwepo vyuoni ifikiapo tarehe 08 Juni, 2020 na itakapofika tarehe 10...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Elimu afungua Mafunzo Kazini kwa Walimu, atembelea shule na vyuo mkoani Mwanza

Matukio mbalimbali katika ziara ya siku moja ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome mkoani Mwanza. Na hotuba yake katika ufunguzi wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome katika maabara ya TEHAMA katika shule ya sekondari Pamba.  Katibu Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING: VYUO VYOTE NCHINI KUFUNGULIWA JUNI,1,2020, MAAMBUKIZI YAPUNGUA

Na Bakari Madjeshi, Michuzi TVRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli rasmi ameruhusu kufunguliwa kwa Vyuo vyote June 1, 2020 pamoja na Michezo ikiwemo Ligi Kuu mbalimbali  kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa Maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19).
Rais Magufuli ametoa maagizo hayo leo Ikulu - Chamwino jijini Dodoma alipokuwa anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Magufuli ameagiza Wizara ya Elimu na Fedha kuhakikisha Wanafunzi hao wa Vyuo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1

Taasisi zote za elimu Tanzania zimefungwa toka mwezi Machi.

 

10 years ago

Michuzi

ONESHO LA S!TE KUFUNGULIWA KESHO JUMATANO MLIMANI CITY,JIJINI DAR

ONESHO la kimataifa la utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) linafunguliwa rasmi leo (kesho Jumatano) katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City na litamalizika Jumamosi.
Tayari maandalizi yote kuelekea ufunguzi wa onesho hilo yamekamilika na kwamba watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuja kujionea vivutio adhimu wa taifa hili.
Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) pamoja na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUANZA ZIARA MKOANI TANGA KESHO


MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo leo ambao hawapo pichani kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu

MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa
habari mkoani humo kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu mkoani hapa


WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwasili jijini Tanga kesho June Mosi Mwaka huu kwa ziara maalum ya kutembelea na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KESHO KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KIGOMA

Na Editha Karlo wa blog ya jamii,KigomaWAZIRI Mkuu Kassimu M Majaliwa(MB) (Pichani) kesho ataanza ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Kigoma.
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya alisema kuwa Waziri Mkuu atawasili Mkoani hapa kesho majira ya saa tatu asubuhi.
Alisema kuwa atapokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali ya Mkoa na kisha atasomewa taarifa ya Mkoa.
Baada ya hapo ataelekea katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani