BREAKING: VYUO VYOTE NCHINI KUFUNGULIWA JUNI,1,2020, MAAMBUKIZI YAPUNGUA
Na Bakari Madjeshi, Michuzi TVRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli rasmi ameruhusu kufunguliwa kwa Vyuo vyote June 1, 2020 pamoja na Michezo ikiwemo Ligi Kuu mbalimbali kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa Maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19).
Rais Magufuli ametoa maagizo hayo leo Ikulu - Chamwino jijini Dodoma alipokuwa anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Magufuli ameagiza Wizara ya Elimu na Fedha kuhakikisha Wanafunzi hao wa Vyuo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya Corona: Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1
11 years ago
MichuziMAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 33
Na Rose Masaka na Lorietha Laurence-MAELEZO
TANZANIA ni miongoni mwa Nchi ambazo zimeweza kupunguza maambuzi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 33.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. William Lukuvi wakati akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukimwi Duniani uliofanyika Melbourne nchini Australia Julai mwaka huu.
Amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kuanza zoezi la kuzuia maambukizi kutoka kwa mama...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Vyuo vyote vya ufundi nchini kuhakikiwa
KATIBU Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Dk Prime Nkwela na watendaji wa baraza hilo, wamepewa siku 30 kukagua vyuo vyote nchini, kujiridhisha na usajili na utoaji wa elimu katika vyuo hivyo.
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ATANGAZA KUFUNGULIWA SHULE ZOTE ZILIZOKUWA ZIMEFUNGWA KISA CORONA, JUNI, 29, 2020
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Jumanne June 16, 2020 wakati akilihutubia Bunge kabla ya kulifunga ili kupisha mchakato wa uchaguzi wa Rais, Bunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Octoba Mwaka huu
Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana
“Kutokana na mwendendo wa corona kuendelea kuwa mzuri, corona imepungua sana, naomba nitangaze...
5 years ago
MichuziMATUKIO YA UHALIFU NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 3.2 MAKOSA YA BARABARANI NAYO YAPUNGUA
IDADI ya matukio ya uhalifu nchini imepungua katika kipindi cha mwezi Januari na Februari mwaka huu ukilinganisha na kipindi kama hicho kwa mwaka 2019 .
Takwimu zinaonesha ndani ya kipindi cha mwaka huu matukio ya uhalifu 9,263 yaliripotiwa ukilinganisha na matukio 9,572 yaliyoripotiwa katika kipindi kama hicho cha mwaka jana hivyo kuwa na upungufu wa matukio 309 sawa na asilimia 3.2.
Akitoa taarifa hiyo mbele ya wandishi wa habari jijini Dodoma leo, Mkurugenzi wa...
5 years ago
CCM BlogMWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI
Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini.
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maambukizi VVU yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...
11 years ago
Habarileo22 May
Maambukizi ya malaria yapungua
WAKATI Serikali ikijiandaa kuanza majaribio ya kiwanda cha mradi wa dawa za kuua viluwiluwi cha Kibaha mkoani Pwani, maambukizi ya malaria nchini yamepungua kwa zaidi ya asilimia 47.