Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu anogesha kampeni za Magufuli

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana alikuwa mstari wa mbele kunogesha kampeni za mgombea wa urais wa CCM, Dk John Magufuli, akisisitiza ni chaguo sahihi kwa Watanzania na kwamba hata upatikanaji wake ulikuwa sahihi kwa asilimia 100 na kwamba, yeye aliyekuwa mjumbe wa vikao hivyo ni shuhuda wa hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU ANOGESHA HAFLA YA KUCHANGIA MADAWATI, JIJINI DAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu  wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam. Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia ) akiangalia moja ya mfano wa dawati katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan...

 

9 years ago

Vijimambo

Helikopta ya Nyarandu Anogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM

Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa jukwaani akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la  Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa jukwaani akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo laIramba Magharibi, Mwigulu Nchemba.Helkopta ya mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini ikitua. Helkopta ya mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini ikitua.Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu akiwarudisha baadhi ya wananchi kurudi eneo la Mkutano wa kampeni na kuacha kushangaa helkopta. Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu akiwarudisha baadhi ya wananchi kurudi eneo la Mkutano wa kampeni na kuacha kushangaa helkopta.Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu akielekea eneo la mkutano pamoja na baadhi ya wananchi baada ya kutua na helkopta. Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu akielekea eneo la...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani...

 

9 years ago

Mwananchi

Staili ya Magufuli kampeni za Uchaguzi Mkuu

Juni 4, Dk John Magufuli alijitokeza ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma, saa 11.30 jioni na kuchukua fomu za kuwania urais, akiwa amevalia sare za chama chake, suruali nyeusi na shati la kijani, akisindikizwa na mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshama na wapambe wengine wawili.

 

9 years ago

Michuzi

KIMBISA AMNADI MAGUFULI KWA NGUVU, MAMA PINDA ANOGESHA...!

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa akicheza wimbo wa hamasa wa kampeni za CCM kabla ya kuanza kumnadi Dk. Magufuli kwa wanaUWT, Mkoa wa Dodoma. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa akicheza wimbo wa hamasa wa kampeni za CCM kabla ya kuanza kumnadi Dk. Magufuli kwa wanaUWT, Mkoa wa Dodoma.'...Na wapigwe tu maana hamna namna nyingine..' Mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda akizungumza na akinamama wa UWT Mkoa wa Dodoma. '.Na wapigwe tu maana hamna namna nyingine..' Mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda akizungumza na akinamama wa UWT Mkoa wa Dodoma.
 Na Mwandishi Wetu, DodomaMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa ameweka kando msimamo aliyokuwa nao awali na kuanza kumnadi kwa nguvu mgombea wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI, SAMIA KUUNGURUMA JANGWANI KESHO

 Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma 'Gadafi' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake leo asubuhi, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika kesho viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Picha zikichukuliwa.
Na Dotto Mwaibale
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za...

 

9 years ago

MillardAyo

Video: Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki

Siku zinahesabika toka Waziri mkuu wa Ukraine alipobebwa juujuu akiwa bungeni, aliyembeba alijifanya kama anampelekea ua alafu baada ya kufika akambeba juujuu kabla hajashambuliwa kwa kipigo na baadhi ya waliokuwemo bungeni, sasa December 16 2015 habari ya zamu ya Waziri mkuu wa Hispania. Waziri mkuu wa Hispania Mariano Rajoy alipigwa ngumi usoni na kijana ambaye alikua […]

The post Video: Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki appeared...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atua Dodoma na siri ya Waziri Mkuu

RAIS John Magufuli amewasili mkoani Dodoma kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuongoza Tanzania akiwa ametumia njia ya barabara huku akiwa na siri moyoni ya nani atakuwa Waziri Mkuu wake. Njia aliyotumia kufika Dodoma imewashangaza wengi kutokana na ukweli kwamba marais waliotangulia wamekuwa wakitumia usafiri wa ndege.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli apeleka jina la Waziri Mkuu bungeni

SAM_2397NA MWANDISHI WETU, DODOMA

RAIS Dk. John Magufuli amewasili mjini Dodoma jana, huku akiwa na siri nzito ya jina la Waziri Mkuu ambalo anatarajia kuliwasilisha bungeni kesho.

Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya Bunge iliyotolewa wiki iliyopita, jina la Waziri Mkuu litawasilishwa kesho na Rais Magufuli kwa Spika Job Ndugai.

Baada ya kuwasilisha jina hilo, litasomwa mbele ya wabunge wote na kuthibitishwa, kisha watapiga kura ya kumchagua.

Baada ya kuthibitishwa kwa Waziri Mkuu, siku hiyo hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani