WAZIRI MKUU ATAKA ELIMU ZAIDI YA URUTUBISHAJI WA VYAKULA ITOLEWE KWA WANANCHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-tWNlZyGrJQg/VfFgm9ux5oI/AAAAAAAH3zI/dQg_uyfeQ8w/s72-c/images.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uongezaji virutubisho kwenye vyakula umeibua mguso mpya na kuleta mlipuko baina ya sekta binafsi na sekta za umma (PPP) ambazo zinasimamia masuala ya afya kwa kiwango kikubwa.
Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema kazi kubwa zaidi inabidi ifanyike ili elimu ya kutosha iweze kufikishwa kwa mabilioni ya watu ambao milo yao ya kila siku haina virutubisho vya kutosha.
Ametoa kauli hiyo jana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Jul
RC ataka itolewe elimu ya utapiamlo
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa ametaka maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Maziwa ya Mama itumike kutoa elimu itakayosaidia kupunguza tatizo la utapiamlo linalosababisha udumavu.
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Elimu itolewe kwa wananchi ili kuzuia kasi ya maambukizi mapya ya VVU Wilayani Mafia — Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia (hawapo pichani).
Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (hayupo pichani).
Na Anna Nkinda – Maelezo, Mafia
Viongozi wa wilaya ya Mafia na wafanyakazi wa Idara ya afya wametakiwa kuhakikisha elimu ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) inatolewa...
10 years ago
Michuzi18 Aug
Serikali yaendelea kusimamia urutubishaji wa vyakula
![](https://3.bp.blogspot.com/-xcKAc6AxYqA/U_HekMauZYI/AAAAAAAAWSw/yWjgPMH4xiI/s1600/SAM_0173.jpg)
5 years ago
MichuziSUDANI WAJIFUNZA URATIBU WA URUTUBISHAJI WA VYAKULA TANZANIA
Ujumbe wa maafisa waandamizi wa serikali kutoka nchini Sudani umekuja hapa nchini kujifunza masuala ya Uratibu wa Vuguvugu la Lishe na urutubishaji wa Vyakula. Ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa ikiratibu masuala ya lishe nchini kutokana na mamlaka iliyonayo kikatiba ya kuratibu shughuli zote za Serikali pamoja na masuala mtambuka. Uratibu huo unafanywa kupitia Kamati ya kitaifa ya Lishe chini ya Uongozi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ETVe2cvcKMY/Xm6LT9hPjiI/AAAAAAALj04/dxIuXUEn8Z0wYwY0ftZGYedimITISk-fQCLcBGAsYHQ/s72-c/tbs_logo.gif)
TBS Yatoa Elimu kwa Wananchi zaidi ya 8000
![](https://1.bp.blogspot.com/-ETVe2cvcKMY/Xm6LT9hPjiI/AAAAAAALj04/dxIuXUEn8Z0wYwY0ftZGYedimITISk-fQCLcBGAsYHQ/s640/tbs_logo.gif)
Na Mwandishi WetuSHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limemaliza Kampeni yake ya kutoa elimu kwa umma katika wilaya za Mpanda, Rungwe na Ludewa kuhusiana na usajili wa majengo ya chakula na vipodozi, umuhimu wa kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa ikiwamo muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa.
Kupitia kampeni hiyo maofisa wa shirika hilo walielimisha jamii kuhusu umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa ubora na TBS.
Kampeni hiyo ya elimu kwa umma imefanyika katika wilaya hizo...
10 years ago
Dewji Blog22 Apr
Naibu Waziri aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Cosmas Mwaisobwa (kulia) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majuku ya Bodi kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela leo (Jumatano, Aprili 22, 2015) jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri alifanya ziara ya kikazi katika Bodi hiyo na kukutana na uongozi wa Bodi.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela (wa pili kulia)...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Qa740tZBaKI/VTf5IMKdl0I/AAAAAAABsf4/x4cy9STOuDw/s72-c/1.jpg)
Naibu Waziri Malecela aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-Qa740tZBaKI/VTf5IMKdl0I/AAAAAAABsf4/x4cy9STOuDw/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-pOC4aThcwik/VTf5LdLo2XI/AAAAAAABsgA/6sbtb9l5mKo/s640/2.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Ve0wVtFgBTE/VkQ7ZXe2QxI/AAAAAAAIFYQ/tCIHNCIUU08/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...
10 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-o4jnwOAjF1M/VPSRiQRHrmI/AAAAAAAABTQ/6WsDJZIEg2c/s72-c/Narendra%2BModi.jpg)
WAZIRI MKUU INDIA ATAKA SULUHU ZA USALAMA MTANDAO KWA WANA TEHAMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-o4jnwOAjF1M/VPSRiQRHrmI/AAAAAAAABTQ/6WsDJZIEg2c/s1600/Narendra%2BModi.jpg)
Waziri mkuu Huyo mhe. Narendra Modi, Ameyazungumza hayo alipokua akizungumza na wana TEHAMA Nasscom, Waziri mkuu huyo alizungumza na kusema dunia nzima imekua ikiangazia macho maswala ya usalama mitandao na...