Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaendelea kusimamia urutubishaji wa vyakula

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Gaudensia Simwanza(kushoto) akiwaeleza waandishi wa kuhusu udhibiti wa vyakula vilivyoongezwa virutubisho wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa.Na Frank MvungiSerikali imejipanga kufanikisha mpango wa Kitaifa wa urutubishaji vyakula na kusimamia usalama wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi kwa lengo la kulinda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SUDANI WAJIFUNZA URATIBU WA URUTUBISHAJI WA VYAKULA TANZANIA

Na. OWM, DODOMA

Ujumbe wa maafisa waandamizi wa serikali kutoka nchini Sudani umekuja hapa nchini kujifunza masuala ya Uratibu wa Vuguvugu la Lishe  na urutubishaji wa Vyakula. Ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa ikiratibu masuala ya lishe nchini kutokana na mamlaka iliyonayo kikatiba ya kuratibu shughuli zote za Serikali pamoja na masuala mtambuka. Uratibu huo unafanywa kupitia Kamati ya kitaifa ya Lishe chini ya Uongozi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATAKA ELIMU ZAIDI YA URUTUBISHAJI WA VYAKULA ITOLEWE KWA WANANCHI

                                                  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uongezaji virutubisho kwenye vyakula umeibua mguso mpya na kuleta mlipuko baina ya sekta binafsi na sekta za umma (PPP) ambazo zinasimamia masuala ya afya kwa kiwango kikubwa.
Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema kazi kubwa zaidi inabidi ifanyike ili elimu ya kutosha iweze kufikishwa kwa mabilioni ya watu ambao milo yao ya kila siku haina virutubisho vya kutosha.
Ametoa kauli hiyo jana...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yaendelea kuimarisha ukaguzi wa Ndani Wizara na Taasisi za Serikali

Mkuu wa Ukaguzi wa ndani toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw.Mohamed Mtonga akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu miongozo mbalimbali iliyolewa na Serikali ikiwa ni moja ya hatua za kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani katika Wizara na Taasisi za Serikali kote nchini ili kuongeza tija,kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara Hiyo Bi. Ingiahedi Mduma na kushoto ni Kaimu Mkaguzi mkuu wa ndani bW. Chotto Sendo.Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Wizara ya fedha na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali imeshindwa kusimamia vitega uchumi’

MAKAMU wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, amesema Tanzania ni nchi tajiri kwa kuwa na vyanzo mbalimbali vya mapato, lakini wasimamizi wakubwa ambao ni serikali wameshindwa kusimamia vyanzo hivyo. Dk. Bilal...

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)IFUATAYO NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA ILIVYOWASILISHWA LEO NA KINANA  Jana tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ahimiza serikali kusimamia haki, usawa

ASKOFU wa Kanisa la Africa Inland (AIC) wa Dayosisi ya Pwani, Charles Salalah amesema serikali isiyo na dini ndiyo itakayosimamia haki na usawa katika taifa, kinyume cha hapo inatafuta matatizo.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC kusimamia uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa

Kilio cha wadau wa uchaguzi kimesikika hatimaye, baada ya Serikali kutangaza nia yake ya kuufanya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 kusimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yajikita kusimamia mpango, dira ya taifa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imeelekeza zaidi nguvu zake katika kutekeleza na kusimamia mpango wa dira ya taifa ya maendeleo 2020 pamoja na mpango wa kukuza uchumi Mkuza kama ndiyo njia pekee ya kupiga hatua kubwa ya maendeleo na kupambana na umasikini kwa wananchi wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani