‘Serikali imeshindwa kusimamia vitega uchumi’
MAKAMU wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, amesema Tanzania ni nchi tajiri kwa kuwa na vyanzo mbalimbali vya mapato, lakini wasimamizi wakubwa ambao ni serikali wameshindwa kusimamia vyanzo hivyo. Dk. Bilal...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 May
‘Watoto wasigeuzwe vitega uchumi’
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imewataka wazazi kuacha tabia ya kuwageuza watoto walio chini ya umri wa miaka 18 kuwa vitega uchumi vyao. Kauli hiyo ilitolewa jijini...
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Gama ahimiza ujenzi wa vitega uchumi
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
PSPF kuwekeza zaidi katika vitega uchumi
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unatarajia kuwekeza zaidi kwenye vitega uchumi vya muda mrefu, ili kulinda thamani ya michango ya wanachama wake na kulipa mafao bora zaidi....
11 years ago
Michuzi
DKT. BILAL AWAELEZA WASOMI JAPAN UMUHIMU WA VITEGA UCHUMI KWA MAENDELEO YA AFRIKA



11 years ago
Dewji Blog25 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal awaeleza wasomi Japan umuhimu wa vitega uchumi kwa maendeleo ya Afrika
Na Mwandishi Maalum, Tokyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amesema nchi zinazoendelea hususan za Kiafrika bado zinahitaji uwekezaji zaidi vitega uchumi kutoka nje (FDIs) ili kupata...
11 years ago
Michuzi.jpg)
balozi seif akutana na Taasisi za uwekezaji vitega uchumi kutoka Kampuni mbali mbali za Kimataifa za ujenzi mjini Dodoma leo
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
‘Serikali imeshindwa kupambana na Mnyauko’
MBUNGE wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM) ameitaka Serikali kueleza sababu zinazochangia kushindwa kutokomeza ugonjwa wa Mnyauko unaoshambulia migomba Mkoani Kagera. Akiuliza swali la nyongeza Mbunge huyo alisema ugonjwa huo...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Serikali imeshindwa kuzuia mauaji Kiteto?
MAUAJI ya mara kwa mara yanayoendelea wilayani ya Kiteto bila ya jitihada za makusudi kuyakomesha yanaashiria kushindwa kuwajibika kwa baadhi ya viongozi na taasisi wanazoziongoza Tunaelezwa kuanzia Februari hadi sasa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Serikali imeshindwa kukomesha mapigano haya?
KWA mara nyingine yamezuka mapigano baina ya wakulima na wafugaji wa jamii ya Kimasai katika Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Vurugu hizo zinadaiwa kuzuka jana asubuhi baada ya wakulima kuamua...