Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu Pinda na familia ya Prof. Muhongo

PG4A1185

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia  ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014. Wapili kulia ni Mke wa Waziri huyo, Bertha  Mamuya na wengine ni mabinti wa Waziri , Nyasige Sospeter  (kushoto) na  Bertha Kimariyo . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A1195 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo(kulia)...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

GPL

TEGETA ESCROW: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO ATOA UTETEZI WA SERIKALI BUNGENI

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. Ameanza kwa kuomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme. Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukrani kwa CAG, TAKUKURU kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu. Spika wa Bunge,...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER MUHONGO AKUTANA NA KAMPUNI YA MTIBWA SUGAR ESTATES LTD

 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na kampuni ya Mtibwa Sugar Estates Ltd.   Profesa Muhongo aliitaka kampuni hiyo  kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme ili kukidhi mahitaji yake zaidi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini -  Madini,  Prof. James Mdoe (kushoto) na Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini – Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Palangyo (kulia) wakifuatilia kwa makini...

 

10 years ago

Vijimambo

Ufafanuzi Wa Serikali Uliyotolewa Leo Bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo

Ameweka wazi kwamba fedha za Escrow si mali ya umma,bado Serikali inadaiwaWaziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo
Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow linaendelea kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo kutoa ufafanuzi wa Serikali bungeni mjini Dodoma kuwa fedha hizo si za umma na kwamba bado Serikali ina mzigo wa madeni katika sakata hilo.

Kauli ya Prof Muhongo inakuja siku moja baada ya Kamati ya PAC kuwasilisha ripoti...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Prof Muhongo asema fedha za Escrow si mali ya umma, adai bado Serikali inadaiwa

Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow linaendelea kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo kutoa ufafanuzi wa Serikali bungeni mjini Dodoma kuwa fedha hizo si za umma na kwamba bado Serikali ina mzigo wa madeni katika sakata hilo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

IMGS2612

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS2602   Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015  ....

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF SOSPETER MUHONGO, AKUTANA NA MR MAYANK BHARGAVA AKIWEMO MR PAUL HINKS MJINI WASHINGTON, DC‏

 Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhomgo akifanya mazungumuzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA akiwemo mweyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao toka Tanzania.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani