Waziri mkuu Thailand atimuliwa
Mahakama Nchini Thailand imeamuru Waziri mkuu wa Nchi hiyo Yingluck Shinawatra kuondoka madarakani baada ya kumkuta na hatia ya kutumia vibaya mamlaka yake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Waziri mkuu wa Somali atimuliwa
Wabunge wa Somali wameng'oa waziri mkuu wa taifa hilo Abdiweli Sheikh Ahmed mamlakani.
10 years ago
GPL
WAZIRI MKUU SOMALIA ATIMULIWA LEO
Waziri Mkuu wa Somalia, Abdiweli Sheikh Ahmed (kushoto). Wabunge wa Somalia leo wamemng'oa Waziri Mkuu wa taifa hilo Abdiweli Sheikh Ahmed madarakani kutokana na kutokuwa na imani naye!
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Waziri atimuliwa Ghana
Rais wa Ghana, John Mahama amewaondoa Waziri wa Michezo na naibu wake katika wizara hiyo baada ya timu ya taifa ya Black Stars kufanya vibaya katika Kombe la Dunia
11 years ago
Mwananchi08 Oct
Kura ya hapana: Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar atimuliwa
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amemtimua kazi Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (AG), Othman Masoud Othman.
10 years ago
Vijimambo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma


10 years ago
GPL
KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW
Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW. -Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vizuri na kwamba aliridhia muamala huu ufanyike. Ndiyo maana katika maelezo yake ya
Bungeni mara kadhaa...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU WA UGANDA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
09-May-2025 in Tanzania